BRELA ( Business Registration and Licensing Agency) kuna matatizo makubwa! Waziri wa Viwanda na Biashara tunakuomba uingilie kati haraka!

mimi ni mzawa nimejaribu kuregister business name leo wiki ya tatu mambo hayaendi ni aibu tupu kwa wanavyojinasibu
 
BRELA yageuka kuwa kikwazo cha ukuaji wa uchumi
 
Mie najiandaa kuja kufungua kampuni hapo, nita wapa pressure hadi mkome.
 
Msahada wako kwenye landmark maana nimeandika had jina la shule ambayo iko karibu ila bado imegoma
Andika hata jina la Babu yako mzaa Mjomba bado watakataa. Chezeya BRELA
 
Nimewahi kuwauliza kama document mnai- assess kwanini msifanye hivyo kwa document nzima then mimi nifanye amendment once and for all! majibu yao ni ya kushangaza na hayana logic yoyote!
Weka hapa majibu uliyojibiwa ili tujue kwa urahisi kosa linaanzia wapi!?
 

Waziri wa Viwanda na Biashara na Wazuri WA fedha na mipango..... Wanakotokea ni wafugaji wakuu wa maksai. Jifunzeni kwa kuanzia hapo mtaelewa tu.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…