BRELA mnatia aibu; kusajili jina la kampuni zaidi ya wiki mbili?

BRELA mnatia aibu; kusajili jina la kampuni zaidi ya wiki mbili?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Inasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana.

Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
 
Inasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana. Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
Tena una bahati, ukipiga huduma kwa wateja simu hawapokei, na ikipokelewa ombea usije kutanana na mdada mmoja zuzu kabisa, huwa anajibu mimi sina cha kukusaidia, hilo swala liko nje ya uwezo wangu
 
Back
Top Bottom