Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
CCM imeshindwa kazi ipigwe chini, Ina demoralise uwekezaji, inashindwa kukusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara inabaki kuwanyonga wananchi na tozoMkuu, umejaribu uone kama njia ya mulungula haiharakishi?
Tena una bahati, ukipiga huduma kwa wateja simu hawapokei, na ikipokelewa ombea usije kutanana na mdada mmoja zuzu kabisa, huwa anajibu mimi sina cha kukusaidia, hilo swala liko nje ya uwezo wanguInasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana. Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
Rwanda 🇷🇼 kusajili kampuni ni ndani ya masaa 24, uje nchi ya chama cha mazombie sasaInaboa sana
Kwa nini usisajili online ? Mbona hata wiki huwa haiishi kila kitu kinakuja tayari?Inasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana.
Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
Hamna namna ya kusajili nje ya online, ngoja aje mlengwa ajieleze kikubwaKwa nini usisajili online ? Mbona hata wiki huwa haiishi kila kitu kinakuja tayari?
Nimesajili online mzee. Kwa kawaida huwa certification hufanyika ndani ya siku tatu za kazi, ila hii inekuwa took much nadhani wanataka kulaKwa nini usisajili online ? Mbona hata wiki huwa haiishi kila kitu kinakuja tayari?
Asante umenijibiaHamna namna ya kusajili nje ya online, ngoja aje mlengwa ajieleze kikubwa