BRELA wamezifuta Kampuni za LBL, halafu wanaishia kusema Watu wamepigwa. Hela za watu zimepelekwa wapi?

BRELA wamezifuta Kampuni za LBL, halafu wanaishia kusema Watu wamepigwa. Hela za watu zimepelekwa wapi?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Kwamba LBL ilikua inahamisha hizo Pesa?.

Kwamba hizo Pesa zipo kwenye akaunti za LBL lakini BRELA wameamua kuzifuta Kampuni hizo ,Ili Sasa wao ndio wazishikilie hizo Pesa?

Kumbuka wao sio wajinga....walishajua nini wanafanya....hela hupelekwa mbali dak hiyo hiyo.....
 
Attachments

  • Screenshot_20250216-182754_1.jpg
    Screenshot_20250216-182754_1.jpg
    363.2 KB · Views: 1
Fedha hazirudishwagi hizo
Walewa deci kwani walirudishiwa
Acha watu watieee akili

Ova
 
Sahiv tupo na F.I.C sijui na wao watafunga lini ila sio haba tunapata pesa
 
kampuni kama LBL zipo nyingi na zinaendelea mpak sa hv hapa nchini , hawa serikali wanajua uwepo wa hawa watu , ila wanakula nao sahani moja , wakitaka kukimbia wote kwa pamoja wanatengeneza movie kama hyo!!! sasa kampuni kama za LBL zipo mpak sa hv watu wanawatch movie wanalipwa kwa mfumo huo huo wa LBL mbali na sakata la LBL na hazijafungiwa mpak sa hv … unafkr serikali hawajui ?? wanajua sana tuu sema mda wa majamaa kusepa ukifika wanawapa taarifa aanatengeza saga jingine kama bla blah hzi sjui tumefungia
na n.k

Hakuna namna ukafanya operation kama hyo kwenye nchi za watu kinyemela haipo , watu wenye dhamana ya mamlaka ni lazima wajue
 
Kwamba LBL ilikua inahamisha hizo Pesa ?.
Kwamba hizo Pesa zipo kwenye akaunti za LBL lakini BRELA wameamua kuzifuta Kampuni hizo ,Ili Sasa wao ndio wazishikilie hizo Pesa?.

View: https://youtu.be/7Pb2eriJ36M?si=z2TlV8QSmS_qZ0Hp

Sexer lilikua suala la muda hili. na baada ya muda tu itakuja nyingine mwendo ule ule. Labda mamlaka zianze kweli kwa dhati kusikiliza na kufatilia mapema maana kimsingi watu hua wanaonya mapema sana mamlaka. lakini mambo haya hayawatishi watawala hivyo ndo huchukua muda mrefu kufanyiwa kazi
 
Mbona ilikuwa inafamika hivyo, au kuna mtu alisema ni ya milele?!
 
Back
Top Bottom