Brenda: Mwenye malalamiko dhidi ya Heche awasilishe kwenye chama, tupo tayari kuchukua hatua

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA Taifa, Brenda Rupia Jonas, amezungumzia mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, akisema wanaotoa tuhuma hadi sasa hawajawasilisha ushahidi wa kuthibitisha madai yao.

Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Your browser is not able to display this video.
 
Hamwezi kuchukua hatua yeyote kuanzia Katibu Mkuu Mnyika hadi wewe Msemaji.

Kinachopaswa kufanyika hapo ni Baraza la Wadhamini au Baraza la Wazee kuchukua hatua ya kufanya uchunguzi huru.

Na chunguzi huru utafanywa kwa usahihi kama John Heche ambaye ni mtuhumiwa atasimamishwa kwa muda.

Akiwa Ofsini ni rahisi kuharibu uchunguzi au anweza kuchagua wachunguzi ambao ni machawa wake.
 
Akil zako zimejaa mav
 
Heche achunguzwe kwa lipi? Watanzania ni mazuzu sana badala ya haya makelele yangepigwa kwenye ripoti ya CAG mnapiga kelele kwenye Taasisi, kitu ambacho sio kazi yenu. Kama kuna tuhuma na mna ushahidi nazo zipelekeni kwenye mamlaka sio kubwabwaja bwabwaja tu...
 
Brenda hujajibu exhaustively, why? Nenda mbali zaidi, eleza kuwa wanaokwenda kwenye media, wote wanafanya press zao kwenye sehemu inayofanana na wanasafiri toka mikoani mpaka Dar kutoa rubbish zao! That is very significant kuonesha kuwa ccm iko nyuma ya hii scum! Thisnis a planned kukigawa chama.
 
Matako kweli wewe
 
Peleka ushahidi ndipo asimamishwe. Kwahiyo unataka asimamishwe kwa maneno yako ya kwenye kanga mnayotoa kwenye jambo tv? Hovyo kabisa
 
Wakileta malalamiko kwenye chama moja kwa moja watakosa posho za kuloloma,malipo ya kumbi za kubwabwajia na kuuxza sura watakosa,watabanwa maswali magumu na waliowatuma hawatainjoi kuwaona live kwenye vyombo walivyowalipia.
 
Wewe ni wale wale.

Lengo lenu umeshaliweka wazi mnataka Heche asimamishwe muweke watu wa kufanya maridhiano na wauwaji wa ndugu zetu. Waporaji au wapishi wa kura, mafisadi wa maliasili na rasilimali za nchi.

Mtu anafikishwaje baraza la wazee au la wadhamini bila kupeleka mashitaka a malalamiko dhidi yake ofisi sahihi itakayo itisha hayo kikao cha mabaraza na kupeleka agenda ya hicho kikao au mkutano wa baraza husika?

Pelekeni malalamiko ofisi ya katibu mkuu na siyo kulialia kwenye vyombo vya habari na tuhuma zenye ushahidi?
 
Hili lijamaa litakuwa limegeuzwa na CCM si bure
 
Asimamishwe kazi kabla hata ya formal complaint kuwasilishwa?

Unaifahamu constitution ya Chama inasemaje kuhusu baraza la wadhamini au wazee?

Kukurupuka kuwapa madaraka wasiyo kuwa nayo , hiyo ni political chaos.
 
Formal charges goes along with formal submission of complaints by complainants and preminary investigation on the evidences
 
Waliiunda tume kuchunguza mauji waliyoyafanya Oktoba 29 mbona hamkutaka wajiuzulu?
 
Waende wakatoe ripoti polisi, wizi ni kosa la jinai
 
 
Asimamishwe kazi kabla hata ya formal complaint kuwasilishwa?

Unaifahamu constitution ya Chama inasemaje kuhusu baraza la wadhamini au wazee?

Kukurupuka kuwapa madaraka wasiyo kuwa nayo , hiyo ni political chaos.
Mbona wapopo mko defwnsive sana? Au mnajuwa matokeo ya uchunguzi huru
 
Tume ya Chande ilikua inachunguza nini ?

Na hao waliokuwa wanachunguzwa wangapi walikaa pembeni?

Na aliyeunda ile tume alikua nani?

Kwanini tume ya Chande haikutaka "uchunguzi huru" kutoka nje kama unavyodai hapa hapa uchunguzi huru?
 
Maelezo yote hayo kutetea ufisadi wa Heche. Kama yuko Safi nilitegemea muukubali uchunguzi huru.

The more mnaweka pingamizi the more mnatushawishi kuwa Heche amekula hela za chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…