Brenda: Mwenye malalamiko dhidi ya Heche awasilishe kwenye chama, tupo tayari kuchukua hatua

Brenda: Mwenye malalamiko dhidi ya Heche awasilishe kwenye chama, tupo tayari kuchukua hatua

Pumbavu ponjoro mkubwa wewe
Screenshot_20260715_203159_X.jpg
 
Hamwezi kuchukua hatua yeyote kuanzia Katibu Mkuu Mnyika hadi wewe Msemaji.

Kinachopaswa kufanyika hapo ni Baraza la Wadhamini au Baraza la Wazee kuchukua hatua ya kufanya uchunguzi huru.

Na chunguzi huru utafanywa kwa usahihi kama John Heche ambaye ni mtuhumiwa atasimamishwa kwa muda.

Akiwa Ofsini ni rahisi kuharibu uchunguzi au anweza kuchagua wachunguzi ambao ni machawa wake.
BUibui wewe ni wa wapi chauma ama acit ama mapindzi.Majobu yakiwepo hoja itaweza tiririka.
 
..wazo zuri sana.

..John Heche asimamishwe umakamu mwenyekiti lakini aruhusiwe kuhutubia mikutano ya hadhara.
Asante Mkuu. Hili litakuwa fundisho kwa CCM. Maana Samia amekuwa akilaumiwa kuunda Tume ya Jaji Chande kwa kisingizio kuwa yeye ndiye mtuhumiwa. Na hoja hii imeongelewa sana na Heche juu ya kuunda Tume kutoka nje ya nchi.

Screenshot_20260715_210708_Instagram Lite.jpg
 
Leo kumekuwa na tuhuma na malalamiko yanayomhusu Makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA kuhusu madai ya ubadhirifu wa fedha. Kwa sasa, madai hayo yanaweza kuwa ya kweli au ya uongo; jambo hilo linapaswa kubainishwa na uchunguzi wa haki na huru.


Hata hivyo, tukio hili linatufundisha jambo muhimu kuhusu saikolojia ya binadamu: tunapomwamini sana mtu au taasisi, mara nyingi huwa vigumu kukubali tuhuma dhidi yake, hata zinapoambatana na ushahidi unaodaiwa kuwa wa kutosha. Vivyo hivyo, tunaweza kupuuza tuhuma za ubadhirifu wa mali za umma kwa sababu tu tunawaamini wanaotuhumiwa.


Hali hii si nzuri kwa serikali, vyama vya siasa, wala taasisi zisizo za kiserikali. Njia sahihi si kuhukumu kwa hisia wala kutetea kwa upendeleo, bali kuimarisha vyombo vya uchunguzi ili viwe huru, kitaalamu na visivyoegemea upande wowote. Kila tuhuma inapaswa kuchunguzwa kwa haki, na uamuzi utolewe kwa kuzingatia ushahidi, si mapenzi au chuki za kisiasa.


Utawala wa sheria unalindwa pale ukweli unapobainishwa kupitia uchunguzi huru, si kupitia imani zetu kwa watu.
 
Ushauri huo unakufaa tatizo hujui kama hujui.Huo ni ushahidi kwamba tuwe makini sana kuna hatari huko mbele tukapata watu wahatari.
 
Asante Mkuu. Hili litakuwa fundisho kwa CCM. Maana Samia amekuwa akilaumiwa kuunda Tume ya Jaji Chande kwa kisingizio kuwa yeye ndiye mtuhumiwa. Na hoja hii imeongelewa sana na Heche juu ya kuunda Tume kutoka nje ya nchi.

View attachment 3629798

..hii hoja imeletwa baada ya Heche kufanya vizuri na kuungwa mkono ktk mikutano ya hadhara.

..kabla ya Heche kuanza kuungwa mkono kwenye mikutano ya hadhara Ccm walikuwa hawana habari naye.

..hata marufuku ya mikutano ya vyama vya siasa chanzo chake ni umahiri aliouonyesha Heche, na muitikio wa wananchi, ktk mikutano aliyokuwa akifanya.
 
Akiwa Ofsini ni rahisi kuharibu uchunguzi au anweza kuchagua wachunguzi ambao ni machawa wake.
Kuna mtu alituhumiwa kutoa amri ya kuua maelfu ya vijana, cha kushangaza yeye ndio aliunda tume ya kufanya uchunguzi (ambayo ilijaa washirika wake), aliipa hadidu za rejea na baada ya uchunguzi aliichukua ripoti na kusema ni ya kwake. Nafikiri tungeanzia hapa kwanza.
 
Wote hao ni wahalifu aliye ua au kuiba au chochote kile ambacho ni kinyume na mapenzi ya Mungu au Sheria za nchi anastahili kuchukuliwa hatua za kisheria na kwamujibu wq Katiba yetu mwenye mamlaka ya kutoa Hukumu ni Mahakama.
 
Hamwezi kuchukua hatua yeyote kuanzia Katibu Mkuu Mnyika hadi wewe Msemaji.

Kinachopaswa kufanyika hapo ni Baraza la Wadhamini au Baraza la Wazee kuchukua hatua ya kufanya uchunguzi huru.

Na chunguzi huru utafanywa kwa usahihi kama John Heche ambaye ni mtuhumiwa atasimamishwa kwa muda.

Akiwa Ofsini ni rahisi kuharibu uchunguzi au anweza kuchagua wachunguzi ambao ni machawa wake.
Yaani wafanye uchunguzi kwa tuhuma za mitandaoni kweli maccm wote ni mataahira. Na sisi ndiyo tunazidi kuchanga chukieni hadi mpasuke manina zenu machoko nyie.
 
Kuna mtu alituhumiwa kutoa amri ya kuua maelfu ya vijana, cha kushangaza yeye ndio aliunda tume ya kufanya uchunguzi (ambayo ilijaa washirika wake), aliipa hadidu za rejea na baada ya uchunguzi aliichukua ripoti na kusema ni ya kwake. Nafikiri tungeanzia hapa kwanza.
Sasa ni juu ya CHADEMA kuonyesha mfano ili CCM ione ilipokosea
 
Yaani wafanye uchunguzi kwa tuhuma za mitandaoni kweli maccm wote ni mataahira. Na sisi ndiyo tunazidi kuchanga chukieni hadi mpasuke manina zenu machoko nyie.
Kwani tuhuma zimeanzia wapi? Tumezisikia mtandanoni. Walioona ukiukwaji/ ufisadi wa Heche wameweka mtandaoni. Na Brenda Rupia naye kuajibia mtandaoni, hata KM Mnyika aliweka mtandaoni
 
Hamwezi kuchukua hatua yeyote kuanzia Katibu Mkuu Mnyika hadi wewe Msemaji.

Kinachopaswa kufanyika hapo ni Baraza la Wadhamini au Baraza la Wazee kuchukua hatua ya kufanya uchunguzi huru.

Na chunguzi huru utafanywa kwa usahihi kama John Heche ambaye ni mtuhumiwa atasimamishwa kwa muda.

Akiwa Ofsini ni rahisi kuharibu uchunguzi au anweza kuchagua wachunguzi ambao ni machawa wake.
Uchunguzi huru? Ili uwe huru namshauri uanzie hapo lumumba ambapo Kila mtu ni machafuko? Tena ananuka rushwa?
Twende tume ya uchaguzi ni kweli aliupata kura 98% zilipigwa lini na wapi?
Tuchunguze Sasa! CHauma Wana wabunge wa special seats wangapi ? Jibu ni viti 2 ?
Walipata kura lakini 2? Hiyo ni 5% ya kura zilizotangazwa na NEC?
Tuache ujinga kujadili mambo ya katoro?
Yupo wapi balozi Humphrey polepole?
Nani alimuua Mzee kibao? Hawa waliundiwa tume ? Kwann nasi twataka haki kama tunayoitaka kwa heche?
Vipi kuhusu TANROAD imepewa tenda kubwa za kuagiza mtambo wa sukari minjingu? Tujadili haya na Yale ya heche. Tuwahonge watu waitishe press nchi nzima hata ikulu
 
Sasa ni juu ya CHADEMA kuonyesha mfano ili CCM ione ilipokosea
Ccm na chadema nani anapaswa kuonesha mfano kwa mwenziwe? Si ni yule anayetajwa kuiba kura? Unajua maana ya mfano lakini? Mfano upo ho? Mbaya au mzuri?
Kama ni mifano mibaya yoooote IPO lumumba? Twende kazi
Heche ni chadema? Heche alikosea chadema imekosea?
Samia ni Abdul? Abdul alikosea na Samia amekosea?
Muwe na akili kidogo
 
Back
Top Bottom