Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Suala limeshatolewa ufafanuzi na Katibu Mkuu wa Chama Chako Brenda anatoa wapi mamlaka ya kuita ushahidi ?Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA Taifa, Brenda Rupia Jonas, amezungumzia mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, akisema wanaotoa tuhuma hadi sasa hawajawasilisha ushahidi wa kuthibitisha madai yao.
Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone