Brenda Rupia: Mikutano inaendelea, leo tupo kanda ya Magharibi Tabora

Ukienda TRA na story za matamko ya wanasiasa wanakuambia "..hatufanyi kazi kwa matamko ya wanasiasa".

Polisi wenyewe yeyote akitoa tamko kamaliza.
busara isipotumika leo naona watu wakitembezewa kipigo cha kufa mtu.
naamini wote mnajua wavaa kaki wao huwa wanatekeleza maagizo kwanza
halafu wanakuja kutumia akili baadae.
 
"Kama kuna matishio ya usalama kwanini wazuie mikutano ya kisiasa tu wakati ipo mikutano ya michezo ,kidini nk?" - JJ Mnyika
 
Leo si tayali wana kibali 👈
Kwanzia kesho wanarudi mjini tumewamisi sana🤠✍️
 
Wamepigwaa ngumi mojaaa tu na Dogo kutokea Ddm kwishaaaa tone tone bin FUSO 🤠🤠
kwanzia kesho wanaanza kujitafuta kurejea Darsalama✍️

Wajipange upya kupambana na Jamhuri sio kitoto toto👈
 
busara isipotumika leo naona watu wakitembezewa kipigo cha kufa mtu.
naamini wote mnajua wavaa kaki wao huwa wanatekeleza maagizo kwanza
halafu wanakuja kutumia akili baadae.
Kiko wapi wewe!! Unadhani kila mtu kondoo.
 
nawatakia kila la kheri 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…