Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 5,371
- 7,382
Alikimbia mapambanoTUMAINI MAKENE
Alikimbia mapambanoTUMAINI MAKENE
Halafu ajabu zaidi ni mwanasheria aibu sana hiiKatambi bwana huyu niabu hata kusema eti alikua mwenyeki Taifa bavicha dah tuliingia Chaka vibaya.
Alichimba wapi sijui huyu jamaa hajapata teuzi hata hasikiki jukwaa loloteTUMAINI MAKENE
Nilisema busara isipotumikaKiko wapi wewe!! Unadhani kila mtu kondoo.
Nini kilimkumba?ana teuzi yeyote?asante kwa taarifa.nilimkubali snaHuyo kwa sasa ni chawa wa Samuya ni takataka kabisa ya kiwango cha mwisho.
Mwaka huu huuSamia akiendelea kuwaendekeza Wasira na Kikwete hata mwaka huu hamalizi.
Hana teuzi yoyote ni wale malaya wa kisiasa waliofuata upepo kama akina Sufiani Juma.Nini kilimkumba?ana teuzi yeyote?asante kwa taarifa.nilimkubali sna