PreGE2025 Brenda Rupia: Tunaona kabisa kwamba huyu Jaji amepewa maelekezo yenye nia ovu na Chama chetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda, kauli iliyotolewa leo Juni 10, 2025
===

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia, na Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita wameonesha mashaka yao kwa Mahakama kuhusiana na namna inavyoendesha shauri lililofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, ambapo leo, Jumanne Juni 10.2025 Mahakama imetoa amri ya kuzuia kwa muda shughuli zote za kiutendaji na oparesheni za chama hicho hadi hapo shauri la msingi litakaposikilizwa

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Source: Jambo_online_tv
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Huyu mama mpumbavu anaona kuvamiwa kwa machadema tu, hakumbuki juzi tu waliwashambulia CHAUMA!! Halafu mkutano watafanyia wapi wakati wamezuiwa kufanya siasa.!!
 
Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda, kauli iliyotolewa leo Juni 10, 2025
===

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia, na Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita wameonesha mashaka yao kwa Mahakama kuhusiana na namna inavyoendesha shauri lililofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, ambapo leo, Jumanne Juni 10.2025 Mahakama imetoa amri ya kuzuia kwa muda shughuli zote za kiutendaji na oparesheni za chama hicho hadi hapo shauri la msingi litakaposikilizwa

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Source: Jambo_online_tv
downloadfile-1.jpg
 
Kwani shida ya huu mgogoro iko wapi hasa? Kama huyo msajili na haobwapuuzi waliofungua kesi, wanataka mchakato urudiwe! si hao Chadema wafanye huo mchakato na kuwarejesha watu wale wale! Au kuna tatizo kubwa ambalo wengi hatulifahamu?
Aliefungua kesi ni zanzibari, jaribu kucinnect dots
 
Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda, kauli iliyotolewa leo Juni 10, 2025
===

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia, na Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita wameonesha mashaka yao kwa Mahakama kuhusiana na namna inavyoendesha shauri lililofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, ambapo leo, Jumanne Juni 10.2025 Mahakama imetoa amri ya kuzuia kwa muda shughuli zote za kiutendaji na oparesheni za chama hicho hadi hapo shauri la msingi litakaposikilizwa

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Source: Jambo_online_tv
 
Attachments

  • FB_IMG_1749561926263.jpg
    FB_IMG_1749561926263.jpg
    39.9 KB · Views: 18
Hii kesi,uongozi wa chadema,usikate rufaa.
Wawaachie wananchi,waendelee na vurugu nchi nzima,hiyo itakiwa rufaa ya kutosha
 
Thubutu!! Kwani nchi nzima ni machadema!!? Jaribuni muone mtakuwa hata kujamba hamjambi kwa kuogopa kujulikana wewe ni li chadema la Lissu na Heche.
 
Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda, kauli iliyotolewa leo Juni 10, 2025
===

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia, na Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita wameonesha mashaka yao kwa Mahakama kuhusiana na namna inavyoendesha shauri lililofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, ambapo leo, Jumanne Juni 10.2025 Mahakama imetoa amri ya kuzuia kwa muda shughuli zote za kiutendaji na oparesheni za chama hicho hadi hapo shauri la msingi litakaposikilizwa

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Source: Jambo_online_tv
Nawakumbusha kuwa watekaji wanajenga andaki la mateso na kuficha watekaji polisi stakishari handaki lipo hatua nzuri 😁😁😁😁
 
Hii kesi,uongozi wa chadema,usikate rufaa.
Wawaachie wananchi,waendelee na vurugu nchi nzima,hiyo itakiwa rufaa ya kutosha
Kete sahihi ni kukata rufaa ili kampeni ziendelee za no reform no elections 😁 samia hatakiwi kuwa rais 2025 kwa namna yoyote atafanya ufirauni mkubwa sana kwa taifa ndani ya hiyo miaka mitano mtakuja kunikumbuka tena upo uwezekano wa asilimia 80% atagomea madarakani kwa kutaka urais mara ya 3 ...kwanini atataka urais kwa mara ya tatu ? Sababu ni uchafu na uovu atakao ufanya hivyo hofu itamfanya kung'ang'ania madarakani...au kutaka mtoto wake awe rais ..msije sema sikuwaambia.
 
Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda, kauli iliyotolewa leo Juni 10, 2025
===

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia, na Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita wameonesha mashaka yao kwa Mahakama kuhusiana na namna inavyoendesha shauri lililofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, ambapo leo, Jumanne Juni 10.2025 Mahakama imetoa amri ya kuzuia kwa muda shughuli zote za kiutendaji na oparesheni za chama hicho hadi hapo shauri la msingi litakaposikilizwa

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Source: Jambo_online_tv
Baada ya Lissu kuweka misingi ya Demokrasia conservativea waliokiwa wamejimilikiaha cama wamekimbia.
 
Back
Top Bottom