PreGE2025 Brenda Rupia: Tunaona kabisa kwamba huyu Jaji amepewa maelekezo yenye nia ovu na Chama chetu

PreGE2025 Brenda Rupia: Tunaona kabisa kwamba huyu Jaji amepewa maelekezo yenye nia ovu na Chama chetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kete sahihi ni kukata rufaa ili kampeni ziendelee za no reform no elections 😁 samia hatakiwi kuwa rais 2025 kwa namna yoyote atafanya ufirauni mkubwa sana kwa taifa ndani ya hiyo miaka mitano mtakuja kunikumbuka tena upo uwezekano wa asilimia 80% atagomea madarakani kwa kutaka urais mara ya 3 ...kwanini atataka urais kwa mara ya tatu ? Sababu ni uchafu na uovu atakao ufanya hivyo hofu itamfanya kung'ang'ania madarakani...au kutaka mtoto wake awe rais ..msije sema sikuwaambia.
Lengo lao wanadhani watatuliza No reform no election na moto wa Lissu.

Wamenyimwa hekima ili waangamie
 
Tuoneshe wakikimbilia ili kupambana na mtu kama sio ccm kutumia taasisi ili chadema ifutwe?
Huwezi kuwa na mtu asiye na akili John Heche au Lissu halafu utegemee chochote kutoka kwao. Mtu kama Heche ambaye ni jirani hasakimiani na jirani na kugombana na kila jirani. Unatarajia atakuletea upendo na amani iwapo hata ndani huo upendo haupo? Mke yupo ndani kama yupo magereza? Haya. Endeleeni kuamini. Mtaelewa mmechelewa sana!
 
No reform no elections
 
Kete sahihi ni kukata rufaa ili kampeni ziendelee za no reform no elections 😁 samia hatakiwi kuwa rais 2025 kwa namna yoyote atafanya ufirauni mkubwa sana kwa taifa ndani ya hiyo miaka mitano mtakuja kunikumbuka tena upo uwezekano wa asilimia 80% atagomea madarakani kwa kutaka urais mara ya 3 ...kwanini atataka urais kwa mara ya tatu ? Sababu ni uchafu na uovu atakao ufanya hivyo hofu itamfanya kung'ang'ania madarakani...au kutaka mtoto wake awe rais ..msije sema sikuwaambia.
Wewe ni mpumbavu sana, lini umeanza kazi ya utabiri zaidi sana ni uchochezi tu!
 
Hizi ni tactics za siku zote. Chadema walipaswa kuwa na plan B. Kwa watu waliosema siasa zao sasa hivi ni za nginja nginja hawakupaswa kukata pumzi wanapowekewa vikwazo. Hapa wana wiki mbili za kujipanga upya. Wasizipoteze.

Amandla...
 
Ila kitu ninachoamini mimi serikali mwisho wa siku itaaibika. Chadema wasirudi nyuma na NRNE.
c hama kitakaa, alafu wmisho siku mnaamua kitu kile kile mlichoshauriwa, hamko sawa, yaan chama kinajiendea tuu, katibu ni nan sasa hiv,
 
Wewe ni mpumbavu sana, lini umeanza kazi ya utabiri zaidi sana ni uchochezi tu!
Uchochezi ni kosa? Kama nachochea kupambana na wahalifu na wahuni.kuna kosa gani ? Tatizo lako ni upumbavu kama wa wanasheri wanakuambia wanataka utawala wa sheria !🙄 hapo unaona wanadhani sheria ndiyo mkombozi tena wanadhani neno sheria ndiyo haki !...kuna tofauti ya NENO SHERIA NA NENO HAKI ...PIA DHANA YA UCHOCHEZI IMEPOTOSHWA NA SHERIA ZISIZO ZA HAKI ILI KUFANIKISHA DHURUMA ...NENO UCHOCHEZI SIYO UHALIFU BALI LINAWEZA KUTUMIKA KIHALIFU AU KUTUMIKA KIHAKI NI KAMA NENO SIRAHA.
 
CHADEMA ni muda muafaka kuanza mipango ya nje ya uwanja, faulo ifanyiwe faulo.
Wanafanyiwa fujo sana lakin bado hawatoki nje ya mstari which is good.
But not for long, lazima wawe na threat factor kubwa nje ya mfumo ili wanaotaka kuwafanyia hivyo vitendo wawe wanawaza mara mbili
 
Back
Top Bottom