Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
angalia ushije ukafa boss ss wanedeshaji wa ndege za chin tunatakiwa tuwe na taadhari kubwa maan ukikanyaga mafuta yananyinywa na yaa akiba ya cycle mpaka 30 😆Nina sibling huko mbeya anauza hiyo Fuga Nisan..lol Ni mzuri and comfortable.. niliwahi push..ooush too[emoji8][emoji8] bt haijamaliza muda anaipush[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hio mashine Fuga ni balaa😂😂😂 haifai mtu wa kipato cha kuuunga unga otherwise utaendesha siku 4 katika mwezi mzima. Likizingua huchukui round lazma ulitaafutie mteja tu!angalia ushije ukafa boss ss wanedeshaji wa ndege za chin tunatakiwa tuwe na taadhari kubwa maan ukikanyaga mafuta yananyinywa na yaa akiba ya cycle mpaka 30 😆
Fundi nae unaagiza nje? Wapo mafundi unampa spea OG anakufungia famba
Hata hizi toyota za siku hizi mafundi wanaziogopa....basi tu wanatengeneza kwa kubahatisha kwa sababu spea zinakuwepo..
Brevis ni gari kimeo sana,ukizitazama na ukiendesha ikiwa mpya ziko bomba kweli kweli lakini zinasumbua sana spare za hapo nje nje ya engine yake,yani from no tu inaweza pasua radiator,mala pump ya maji,sometimes na upya wake unaweza shangaa tu mshale wa joto uko juu na inaunguza kabisa gasket ilihali maji ya kupooza engine yamo..yani gari fulani hivi ya ajabu sana, binafsi hata nikitangaziwa milion mbili na ina namba D kabisa kabisa siwezi kununua
Naona fuga, brevis, mark x zinauzwa kwa bei ya kutupwa,watu wanataka kuwaingiza wenzao chaka 😃Nipo mkuu
Mjini mipango. Gari la kuuziwa na mtu mweusi SI gari. Hatuna uaminifu.Naona fuga, brevis, mark x zinauzwa kwa bei ya kutupwa, watu wanataka kuwaingiza wenzao chaka 😃
Wese 2490cc?Mimi pia matangazo mengi brevis naona haizidi m5. I tthink labda inakulaa wese sana
Mjini mipango. Gari la kuuziwa na mtu mweusi SI gari. Hatuna uaminifu.
Wengi wetu tunavamia magari ambayo atuyaelewi gari kuaribika nijambo lakawaida tatizo watu wengi hawana uelewa wa magari mfano brevis sio gari kimeo kama wengi wanavyojaribu kuwaaminisha wengine kiukweli hii aina nimeitumia sana aina zote za brevis kwanza injini tofauti kuna 1jz na 2jz pia zipo 4 wheelna ambazo zipo 2 wheelNaona fuga,brevis,mark x zinauzwa kwa bei ya kutupwa,watu wanataka kuwaingiza wenzao chaka [emoji2]
Castro nyeupe lakin me huwa natumia Atlantic kwasababu nasafiri sana hii nabadili kila baada ya km 6000 lakin Castro nlikua naenda km 4000Oil unatumia ya aina gani kati ya kampuni hizi
Casto
Total
Liquimoly
Na unapofanya service unatoa na nn tofauti na kumwaga oil
[emoji1787][emoji1787] for sure atupe kazi bossHatuna kazi boss, would you please offer us a job to do in one of your offices ...??
Hiyo Castrol Bei kubwa (ukilinganisha na Engine Oil nyingine) imeniulia Engine eti 5,000 kms kumbe unaua engine.Castro nyeupe lakin me huwa natumia Atlantic kwasababu nasafiri sana hii nabadili kila baada ya km 6000 lakin Castro nlikua naenda km 4000
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Castrol imeniulia Engine eti 5,000 kms kumbe unaua engine.
Castro inaenda km 4000 sio zaidi ya hapoHiyo Castrol Bei kubwa (ukilinganisha na Engine Oil nyingine) imeniulia Engine eti 5,000 kms kumbe unaua engine.
Hizo 2,000 kms ulizozidisha kwenye standard ya 3,000kms/ service ndo zimeua engine yako. Mafundi unampa hell ya kununua Castrol Oil anaweka Total au za kupima. Anaenda kumalizia nyumba yake chanika hukoHiyo Castrol Bei kubwa (ukilinganisha na Engine Oil nyingine) imeniulia Engine eti 5,000 kms kumbe unaua engine.