Brevis Bei nafuu. WHY?

Brevis Bei nafuu. WHY?

Nina sibling huko mbeya anauza hiyo Fuga Nisan..lol Ni mzuri and comfortable.. niliwahi push..ooush too[emoji8][emoji8] bt haijamaliza muda anaipush[emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
angalia ushije ukafa boss ss wanedeshaji wa ndege za chin tunatakiwa tuwe na taadhari kubwa maan ukikanyaga mafuta yananyinywa na yaa akiba ya cycle mpaka 30 😆
 
angalia ushije ukafa boss ss wanedeshaji wa ndege za chin tunatakiwa tuwe na taadhari kubwa maan ukikanyaga mafuta yananyinywa na yaa akiba ya cycle mpaka 30 😆
Hahah hio mashine Fuga ni balaa😂😂😂 haifai mtu wa kipato cha kuuunga unga otherwise utaendesha siku 4 katika mwezi mzima. Likizingua huchukui round lazma ulitaafutie mteja tu!
 
Brevis ni gari kimeo sana,ukizitazama na ukiendesha ikiwa mpya ziko bomba kweli kweli lakini zinasumbua sana spare za hapo nje nje ya engine yake,yani from no tu inaweza pasua radiator,mala pump ya maji,sometimes na upya wake unaweza shangaa tu mshale wa joto uko juu na inaunguza kabisa gasket ilihali maji ya kupooza engine yamo..yani gari fulani hivi ya ajabu sana, binafsi hata nikitangaziwa milion mbili na ina namba D kabisa kabisa siwezi kununua

Zina shida gani za kiufundi Brevis kwa sababu mi nimetumia kwa miaka karibia minne na tayari ilikuja na km 110,000 toka Japan sijaona shida yake kubwa. Labda uniambie kwamba ina engine kubwa so na mafuta inakula kwa trip za town
 
Naona fuga,brevis,mark x zinauzwa kwa bei ya kutupwa,watu wanataka kuwaingiza wenzao chaka [emoji2]
Wengi wetu tunavamia magari ambayo atuyaelewi gari kuaribika nijambo lakawaida tatizo watu wengi hawana uelewa wa magari mfano brevis sio gari kimeo kama wengi wanavyojaribu kuwaaminisha wengine kiukweli hii aina nimeitumia sana aina zote za brevis kwanza injini tofauti kuna 1jz na 2jz pia zipo 4 wheelna ambazo zipo 2 wheel

Sasa 1jz cc2490 ambayo nyuma inaandikwa 2500 hii inamfaa mtu mwenye kipato cha kati lakin hakikisha isiwe 4 wheel kwasababu ikiwa 4wheel inakua nzito kuchanganya mwendo ivo kupelekea ulaji wa mafuta kuongezeka


Sasa 2jz cc2990 ambayo nyuma imeandikwa 3000 hii inamfaa mtu mwenye kipato cha juu kwasababu hii ata ukiipaki umewasha ac inakula mafuta hatari sasa ikiwa 4wheel ndo balaa na heshima ya aina hii ya gari muda wote ac sasa ndo mziki apo


Wengi wanafata mkumbo wananunua lakin awazielewi matunzo yake mwisho zinawashinda wanaamua kuziuza sasa mtaani watu washazijua ulaji wa mafuta ndo zinashuka bei lakin chanzo cha kushuka bei ni ulaji wa mafuta ila kwenye safari hii ni gari makini sana unafika mpaka 180 na unatamani uongeze speed

Kama kuna swali ulizeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oil unatumia ya aina gani kati ya kampuni hizi
Casto
Total
Liquimoly
Na unapofanya service unatoa na nn tofauti na kumwaga oil
 
Oil unatumia ya aina gani kati ya kampuni hizi
Casto
Total
Liquimoly
Na unapofanya service unatoa na nn tofauti na kumwaga oil
 
Hiyo Castrol Bei kubwa (ukilinganisha na Engine Oil nyingine) imeniulia Engine eti 5,000 kms kumbe unaua engine.
Hizo 2,000 kms ulizozidisha kwenye standard ya 3,000kms/ service ndo zimeua engine yako. Mafundi unampa hell ya kununua Castrol Oil anaweka Total au za kupima. Anaenda kumalizia nyumba yake chanika huko
 
Back
Top Bottom