Breweries kuja na Safari lite

Wataua safari kubwa. Ila Wanaume waskuizi laini laini sana. Hawawezi vitu vizito. Kuna shida pahala.
 
lite ni moja tu Ile wanayosema with a bite zingine wanapoteza muda
 
Wataua safari kubwa. Ila Wanaume waskuizi laini laini sana. Hawawezi vitu vizito. Kuna shida pahala.
Lites zinauzwa sana sababu watu wanakunywa nyingi.

Faida kubwa kwa wauzaji. Ndo maana zinaletwa lites ili watu wanywe nyingi.

Unakunywa safari 5 unalewa wakati ukinywa lite zinafika 10 ndo unaanza kulewa.

Nani anafaidika hapo?

BTW, watu wanakunywa kvant, konyagi wanashindwa Safari?
 
Ni sawa lakini kuna watu wanataka hizo hard, na ni brand actually.
 
Ngoja tuone kama itaipiku serengeti lite maana kili lite imekaa ki kike sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…