Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lites zinauzwa sana sababu watu wanakunywa nyingi.Wataua safari kubwa. Ila Wanaume waskuizi laini laini sana. Hawawezi vitu vizito. Kuna shida pahala.
Ni sawa lakini kuna watu wanataka hizo hard, na ni brand actually.Lites zinauzwa sana sababu watu wanakunywa nyingi.
Faida kubwa kwa wauzaji. Ndo maana zinaletwa lites ili watu wanywe nyingi.
Unakunywa safari 5 unalewa wakati ukinywa lite zinafika 10 ndo unaanza kulewa.
Nani anafaidika hapo?
BTW, watu wanakunywa kvant, konyagi wanashindwa Safari?