Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
haha Kuna wanaojua watakuja now wapo makaziniMkuu ulivyowasilisha hiyo mada yako ni kama mtu msela wake wanapiga story halafu mwingine akafika gafla hajui kinachoongelewa
Hahah,sureMkuu ulivyowasilisha hiyo mada yako ni kama mtu msela wake wanapiga story halafu mwingine akafika gafla hajui kinachoongelewa
Mwana amedrop sana sielewi shida ni management au shida ni yeye mwenyewe.. Coz Mimi mars anafanya vizuri chini ya hiyo hiyo labelKama mnamsoma jamaa alianza vizuri Sana,wengi tukasema Nasty c anakuja kupotezwa...Flow kali..,Mistari mikali Bilingual Beast kumzidi wakazi..wote tuka Bet kua Young nigga is goin to Rep Tanzania..Mix tape yake ya Masaki theory ilisheeni vitu vya maana Sana..but now mwana he's sign up Mdee Music Ana mbwela mbwela Sana..ngoma zake mbili za mwisho Hakuna kitu..video ya stimu IPO low quality Sana..Ushauri..jitathmini mzee,,Rudi kwenye mizuka ya HOE.Masaki..Tungi..PEACE..
hapana,but yupo label ya VanessaWana undugu na vanessa mkuu?
shida management..si unajua biashara bob..labda wanamkazia kufanya ngumuMwana amedrop sana sielewi shida ni management au shida ni yeye mwenyewe.. Coz Mimi mars anafanya vizuri chini ya hiyo hiyo label
anaongeaje tenaYuko vizuri sema apunguze mashauzi akiwa anaongea
Slang flan hivi ya kuboa kwa upande wangu, otherwise anajitahidianaongeaje tena