Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Kama mnamsoma jamaa alianza vizuri Sana,wengi tukasema Nasty c anakuja kupotezwa...Flow kali..,Mistari mikali Bilingual Beast kumzidi wakazi..wote tuka Bet kua Young nigga is goin to Rep Tanzania..Mix tape yake ya Masaki theory ilisheeni vitu vya maana Sana..but now mwana he's sign up Mdee Music Ana mbwela mbwela Sana..ngoma zake mbili za mwisho Hakuna kitu..video ya stimu IPO low quality Sana..Ushauri..jitathmini mzee,,Rudi kwenye mizuka ya HOE.Masaki..Tungi..PEACE..