Brian Simba Mdee Music Umepotea..

Brian Simba Mdee Music Umepotea..

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,821
Kama mnamsoma jamaa alianza vizuri Sana,wengi tukasema Nasty c anakuja kupotezwa...Flow kali..,Mistari mikali Bilingual Beast kumzidi wakazi..wote tuka Bet kua Young nigga is goin to Rep Tanzania..Mix tape yake ya Masaki theory ilisheeni vitu vya maana Sana..but now mwana he's sign up Mdee Music Ana mbwela mbwela Sana..ngoma zake mbili za mwisho Hakuna kitu..video ya stimu IPO low quality Sana..Ushauri..jitathmini mzee,,Rudi kwenye mizuka ya HOE.Masaki..Tungi..PEACE..
 
Mkuu ulivyowasilisha hiyo mada yako ni kama mtu msela wake wanapiga story halafu mwingine akafika gafla hajui kinachoongelewa
 
haha Kuna wanaojua watakuja now wapo makazini
 
Kama mnamsoma jamaa alianza vizuri Sana,wengi tukasema Nasty c anakuja kupotezwa...Flow kali..,Mistari mikali Bilingual Beast kumzidi wakazi..wote tuka Bet kua Young nigga is goin to Rep Tanzania..Mix tape yake ya Masaki theory ilisheeni vitu vya maana Sana..but now mwana he's sign up Mdee Music Ana mbwela mbwela Sana..ngoma zake mbili za mwisho Hakuna kitu..video ya stimu IPO low quality Sana..Ushauri..jitathmini mzee,,Rudi kwenye mizuka ya HOE.Masaki..Tungi..PEACE..
Mwana amedrop sana sielewi shida ni management au shida ni yeye mwenyewe.. Coz Mimi mars anafanya vizuri chini ya hiyo hiyo label
 
shida management..si unajua biashara bob..labda wanamkazia kufanya ngumu
 
Back
Top Bottom