BRICS VS G7

BRICS VS G7

Kila lenye mwanzo halikosi mwisho!
Na Kila mwisho una mwanzo wake!
Najua unaumia lakini hakuna namna
ttzo huez nyanyuka kwa kuvamia vibonde hiyo ni laana hata Hitler alianguka kwa sabab hiyo hiyo , kikubwa naamin kunyanyuka kwa BRICS ndio anguko la uislam na ugaid wake , hao NATO wanawalea sana waislam na ugaid wao ukiwagusa tu serikali za west zinakujia juu haki za binadam
 
Uislam hauwezi kuanguka,,harakati zote zilishindwa hapo awal
 
Hivi unajua dollar inamilikiwa na USA lakini USA anadaiwa trillions of dollar? Ukijua ni kwanini atengeneze dollar halafu akope dollar ndio utajua ukweli, pole mtoa post, hapa sihitaji mlolongo was mahesabu nataka akili ya chekechea itumike.
 
Elimu yako
 
Uislam hauwezi kuanguka,,harakati zote zilishindwa hapo awal
ulikuwa wapi miaka ya 1800s to 1900s ugaid unaodhaminiwa na west ndo unaupa kiki , ngoja wanaume China , India na Urusi washike usukani mtaelewa tu ukijilipua watu wanafuata huko huko mnakopanga kujilipua
 
Anakopa dollar kutoka kwa nani?
Hivi unajua dollar inamilikiwa na USA lakini USA anadaiwa trillions of dollar? Ukijua ni kwanini atengeneze dollar halafu akope dollar ndio utajua ukweli, pole mtoa post, hapa sihitaji mlolongo was mahesabu nataka akili ya chekechea itumike.
 
Ila walichomfanyia mkrain siyo sawa wawe serious bwana ,mnakutana mnalipana mabilion ya posho ,alafu mnaweka kikwazo cha dhahabu .huku mwenzenu anakula mvua ya mabomu ,wao kiyoyoz kikali alafu wanaona simplest sana.
BRICS ECONOMY: 27 USD trillion
POPULATION: 3.2 Billion people

G7 ECONOMY: 45 USD trillion
POPULATION: 700 million people

West wameshindikana
 
BRICS ECONOMY: 27 USD trillion
POPULATION: 3.2 Billion people

G7 ECONOMY: 45 USD trillion
POPULATION: 700 million people

West wameshindikana
Unaelewa nini maana ya BRICS NA G-7 Na tofauti zao unazijua? Unafahamu BRICS Imeanzishwa mwaka gani na malengo yake ni yapi? Unafahamu G-7 Imeanzishwa mwaka gani na hapo awali ilikuwa na nchi ngapi na malengo yake ni yapi ?[emoji848]
 
ttzo huez nyanyuka kwa kuvamia vibonde hiyo ni laana hata Hitler alianguka kwa sabab hiyo hiyo , kikubwa naamin kunyanyuka kwa BRICS ndio anguko la uislam na ugaid wake , hao NATO wanawalea sana waislam na ugaid wao ukiwagusa tu serikali za west zinakujia juu haki za binadam
Usipotaja uislamu , nyeo inakuwasha
 
BRICS countries represent around 25% of the world’s total GDP, 40-45% of the global population and 16% of global trade
 
Back
Top Bottom