Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehe jamani ndo mmenichoka home kiasi hicho?
View attachment 524846 The show stopper..at the bridal fashion show in NY [emoji124]
Itabidi aitwe baba mchungaji aanze maombi kabisa.Teh!, hawa watu wakati mwingine akili zao sijui huwa zinawaza nini.
Akina sisi tuvae hivyo na tulivyo na misambwanda sijui kama kwenye harusi patakalika. [emoji50]
Yaani huo mtego daaah[emoji2] [emoji1]
Tumvalishe hivyo Heaven Sent maana kalivyo kembamba hata hauwezi jua kamevaa au hakajavaa!!Tehe!, kwa kweli.
Kabisaaaaa natamani nikamuoe hahahaJose macho hayatakubanduka kwa bi harusi 😀
View attachment 524846 The show stopper..at the bridal fashion show in NY [emoji124]
Tumvalishe hivyo Heaven Sent maana kalivyo kembamba hata hauwezi jua kamevaa au hakajavaa!!