Brigedi za Al-Qassam ziliamua kukabidhi miili ya mateka wanne wa Kizayuni usiku wa kuamkia leo

Hii ndiyo taabu ya Copy & Paste hapo Hujasema alifungwa kwa kosa gani. Kijana huyo aliua watu wawili

Umenikumbusha Gazeti la Mzalendo lilivyokuwa kubwa na left enzi hizo za Mwalimu. Umeanza na Taqiyya yenu na umemaliza nayo uongo jadi yenu hata hujazungumzia mauaji ya watu 1,200 na kuteka nyara watu 521 hayo hukuyaongeleq kabisa hujazungumzia mlivyowaua watoto wa Bibas Ariel na Kfri na Mama yao simply tu alikataa kubakwa na magaidi hao hivyo wakaamua kumuua yeye na watoto wa wake wawili kisha kujikosha kumwachia mme wake na kumdhalilisha kwa kumwambia atabasamu na kuwapungia mkono magaidi. Hujaongelea Mkwara wa Benjamin Netanyahu kuhusu udhalilishwaji huo wa mateka kwa kusema wakome kuwaweka mateka kwenye majukwaa kutaka umaarufu wa kipumbavu hayo hujasema matokeo yake Hamas wameachia mateka usiku kuhofia kuchekwa na wafuasi wao. Netanyahu alishasema ni marufuku kuweka watu majukwaani kutaka sifa. Najua Hamas wamesikia na hawatarudia ujunga huo tena
Tofauti yangu mimi na wewe mimi nakuja na data na facts za kutosha wewe unakuja na porojo😁

Weka huo ushahidi kwa faida ya JF.
 
Hii ndiyo taabu ya Copy & Paste hapo Hujasema alifungwa kwa kosa gani. Kijana huyo aliua watu wawili

Umenikumbusha Gazeti la Mzalendo lilivyokuwa kubwa na left enzi hizo za Mwalimu. Umeanza na Taqiyya yenu na umemaliza nayo uongo jadi yenu hata hujazungumzia mauaji ya watu 1,200 na kuteka nyara watu 521 hayo hukuyaongeleq kabisa hujazungumzia mlivyowaua watoto wa Bibas Ariel na Kfri na Mama yao simply tu alikataa kubakwa na magaidi hao hivyo wakaamua kumuua yeye na watoto wa wake wawili kisha kujikosha kumwachia mme wake na kumdhalilisha kwa kumwambia atabasamu na kuwapungia mkono magaidi. Hujaongelea Mkwara wa Benjamin Netanyahu kuhusu udhalilishwaji huo wa mateka kwa kusema wakome kuwaweka mateka kwenye majukwaa kutaka umaarufu wa kipumbavu hayo hujasema matokeo yake Hamas wameachia mateka usiku kuhofia kuchekwa na wafuasi wao. Netanyahu alishasema ni marufuku kuweka watu majukwaani kutaka sifa. Najua Hamas wamesikia na hawatarudia ujunga huo tena
Unaleta porojo😃😃
 
Manispaa ya Gaza inaripoti kwamba:

▪️Mji wa Gaza unakabiliwa na mzozo mkubwa wa kimazingira na kiafya kutokana na mrundikano wa taka tangu kuanza kwa mauaji ya kimbari ya miezi 15 katika Ukanda huo, ambayo yanatishia moja kwa moja afya za watu.

▪️Zaidi ya tani 170,000 za taka hurundikana mitaani, na kusababisha uchafuzi mkubwa wa mazingira na kuwaweka watu kwenye hatari ya magonjwa na milipuko.

▪️Tunaomba mashirika na taasisi za kimataifa kuingilia kati haraka na kuratibu na mamlaka husika ili kuruhusu ufikiaji wa dampo kuu la taka huko Juhor ad-Dik ili kumwaga taka kwa njia salama, wakati ambapo jiji linakabiliwa na janga kubwa la kibinadamu.
 
Hii ndiyo taabu ya Copy & Paste hapo Hujasema alifungwa kwa kosa gani. Kijana huyo aliua watu wawili

Umenikumbusha Gazeti la Mzalendo lilivyokuwa kubwa na left enzi hizo za Mwalimu. Umeanza na Taqiyya yenu na umemaliza nayo uongo jadi yenu hata hujazungumzia mauaji ya watu 1,200 na kuteka nyara watu 521 hayo hukuyaongeleq kabisa hujazungumzia mlivyowaua watoto wa Bibas Ariel na Kfri na Mama yao simply tu alikataa kubakwa na magaidi hao hivyo wakaamua kumuua yeye na watoto wa wake wawili kisha kujikosha kumwachia mme wake na kumdhalilisha kwa kumwambia atabasamu na kuwapungia mkono magaidi. Hujaongelea Mkwara wa Benjamin Netanyahu kuhusu udhalilishwaji huo wa mateka kwa kusema wakome kuwaweka mateka kwenye majukwaa kutaka umaarufu wa kipumbavu hayo hujasema matokeo yake Hamas wameachia mateka usiku kuhofia kuchekwa na wafuasi wao. Netanyahu alishasema ni marufuku kuweka watu majukwaani kutaka sifa. Najua Hamas wamesikia na hawatarudia ujunga huo tena
Walinzi wa Hamas walitufunika kwa miili yao ILI KUTUILINDA dhidi ya kupigwa risasi na majeshi yetu wenyewe,” mfungwa wa Israel aliyeachiliwa na upinzani wa Wapalestina huko Gaza, Chen Almog-Goldstein, anasema!

Wewe upo Uyole mshipa wa tako unakusimama kutetea Israel.

View: https://x.com/abujomaagaza/status/1895184402814246970?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kama kawaida yenu kufanya Taqiyyah bila hata aibu hao mateka wazazi wao na ndugu zao waliuwawa kinyama na wengine kubakwa na wao kuchukuliwa mateka kwa nguvu na Magaidi na kuwekwa kwenye mahandaki kwa zaidi ya siku 500 ni ujinga na upumbavu kufikiri kuwa mateka hao wanaweza kuwasifia walioua ndugu zao wazazi wao kubaka watoto wao na kuwachukua mateka watu wasi na hatia!!!
 
Unaleta porojo😃😃
Wewe ndiyo unaleta Poroja za kusifia-sifia wafungwa waliofungwa kwa makosa ya wizi, ubakaji,mauaji na Ugaidi nakushangaa sana unapotetea waharifu!!
 
Kama kawaida yenu kufanya Taqiyyah bila hata aibu hao mateka wazazi wao na ndugu zao waliuwawa kinyama na wengine kubakwa na wao kuchukuliwa mateka kwa nguvu na Magaidi na kuwekwa kwenye mahandaki kwa zaidi ya siku 500 ni ujinga na upumbavu kufikiri kuwa mateka hao wanaweza kuwasifia walioua ndugu zao wazazi wao kubaka watoto wao na kuwachukua mateka watu wasi na hatia!!!
Hata ueleweki unachandika JF siyo sehemu ya porojo.

Wewe mjinga sana halafu punguani mimi nakuja na facts kama hizi wewe unandika uharo mrefu fikra zako.

View: https://x.com/kerryburgess/status/1895105846247403546?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom