TANZIA Brigedier General Martin Mwankanye wa JWTZ afariki dunia

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839


Brigadier General(Rtd) Martin Mwankanye amefariki muda mfupi uliopita pale Lugalo General Military Hospital.

Si watu wengi wanamfahamu marehemu, lakini wale tupo karibu na Jeshi tunajua kuwa alikuwa Specials ops na aliwahi kuwa Mwambata wa kijeshi kule Rwanda na hata Marekani.

RIP Brig. Gen. Martin Mwankanye.

KUAGWA RASMI
==============
Brig Gen Martin Mwankanye ameagwa rasmi, katika viwanja vya Lugalo GMH asubuhi ya leo1/2/2021.
Asante JWTZ kwa kuwaenzi wana wenu kwa heshima yote.
Gwaride lilikuwa lile la majonzi na lilivuta hisia ya wote waliokuwepo.
 

Ugonjwa haupo. Huu ulikwisha. Hapana upo kidogo sana.

Apumzike kwa amani major general.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…