Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ZimefikaR.I.P. Nini cause ya kufa kwake?
Mama D ahsante tumepoaLala salama major general Mwankanye. Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba.
R.i.p aliewahi kuwa mwalim wangu somo fulani .Major General(Rtd) Martin Mwankanye amefariki muda mfupi uliopita pale Lugalo General Military Hospital.
Si watu wengi wanamfahamu marehemu, lakini wale tupo karibu na Jeshi tunajua kuwa alikuwa Specials ops na aliwahi kuwa Mwambata wa kijeshi kule Rwanda.
RIP Gen. Mwankanye.
Kipindi cha nyumaRIP General; Huyu aliwahi kupigana vita yoyote?
The way you have presented your concern, it is crystal clear that you're not a citizen of Tz, The united republic.Thats why I really hate the government...
I have strong disdain with the serikali
I dont like them at all. The way they present themselves, the way they rule over other human beings, the way they oppress using coercive power, the way they break the law at will, etc
I hate these from my gut!
Poleni sana bro. Huku nako tunaombolezaMama D ahsante tumepoa
Kuna tanzia inasomwa bila sababu ya kifo?Hii tabia ya kuhoji ugonjwa kwenye Tanzia hapa JF sio ya Heshima.
Nimesema kiswahiri kwanza. Ndio maana tumeamua nchi zote za sadeki kiswahiri kiwe ndio Ruga rasmi. Au nasema uongo ndugu zangu?Mkuu
Official government language ni Kingereza kwanza then Kiswahili baadae,ambapo:
1.Hufanyiwi interview ya kazi yeyote serikalini kwa Kiswahili,ni English
2.Mikataba yote ni English
3.Memo za Kikao cha Baraza la Mawaziri ni English
4.Barua uajiri na zingine nyeti ni English
5.Hukumu zote Mahakamani ni English
6.Sheria zote nchi hii zimeandikwa kwa English
7.Shule kuanzia darasa la Tatu mpaka Chuo Kikuu ni English
8.etc
Sasa sijui unaongea mambo gani aisee?
Nimesema kiswahiri kwanza. Ndio maana tumeamua nchi zote za sadeki kiswahiri kiwe ndio Ruga rasmi. Au nasema uongo ndugu zangu?