TANZIA Brigedier General Martin Mwankanye wa JWTZ afariki dunia

TANZIA Brigedier General Martin Mwankanye wa JWTZ afariki dunia

Kaisha kufa.. hakuna tena unyeti.. sio hatarishi tena.. mwaga kama unazijua na sie tujue special ops

Kabisa. It is now done. Ingawa kuna mengine huwa yanabaki siri sababu ya ukakasi wamekuwa generation kadhaa zijazo
 
Kabisa. It is now done. Ingawa kuna mengine huwa yanabaki siri sababu ya ukakasi wamekuwa generation kadhaa zijazo
Ni kweli, kila siri ina time frame yake. Ndio maana hutolewa pale ambapo inakuwa haina tena madhara, kuna zingine huchukua miaka mitano, zingine 10 zingine 50 n.k.. wamwage zilizo ndani ya mwaka huu.. kama vile alivyosema mwamba alikuwa special ops.. asitaje mission alizoshiriki na matokeo yake ila anaweza dadavua kwa juu juu tu.. kama alikuwa special ops maana yake alikuwa komando au sio ?
 
Gwe masopakyindi,mwambata fyo findufiki?. Halafu ubadirishe hapo ujege gwe umepungua ni ndima
 
Ni vizuri tukajua ili tuendelee kuchukua tahadhari
Hey guys, why should we ask the cause for every dealth? We didn't experience this a few years ago. Why don't we think that it could be the life span or the common causes like malaria, diabetes, yellow fever, and so on? We still live with those diseases!
 
Ni kweli, kila siri ina time frame yake. Ndio maana hutolewa pale ambapo inakuwa haina tena madhara, kuna zingine huchukua miaka mitano, zingine 10 zingine 50 n.k.. wamwage zilizo ndani ya mwaka huu.. kama vile alivyosema mwamba alikuwa special ops.. asitaje mission alizoshiriki na matokeo yake ila anaweza dadavua kwa juu juu tu.. kama alikuwa special ops maana yake alikuwa komando au sio ?
Kila jeshi duniani lina vikosi vinavyoshughulikia mambo nyeti, mapambano nyeti even across the borders kabla hujaona mamizinga au ndege.
Itoshe kusema hivyo mkuu.
 
Brigadier General(Rtd) Martin Mwankanye amefariki muda mfupi uliopita pale Lugalo General Military Hospital.

Si watu wengi wanamfahamu marehemu, lakini wale tupo karibu na Jeshi tunajua kuwa alikuwa Specials ops na aliwahi kuwa Mwambata wa kijeshi kule Rwanda na hata Marekani.

RIP Gen. Mwankanye.
Wacha afe tu ni matokeo ya udhalimu wanao utetea..!
 
Back
Top Bottom