TANZIA Brigedier General Martin Mwankanye wa JWTZ afariki dunia

TANZIA Brigedier General Martin Mwankanye wa JWTZ afariki dunia

Kwahiyo unakaa ( unaishi ) kwa Shemeji yako aliyekuolea Dada yako hapo Lugalo au?
Tuna msiba, ningekujibu kivingine lakini subiri ufiwe!
Kwa taarifa yako marehemu ni mstaafu na wastaafu hawaishi kambini.
 
Kichwa cha habari Major General....habari inasema Brig General....
R.I.P kamanda
 
Thats why I really hate the government...

I have strong disdain with the serikali

I dont like them at all. The way they present themselves, the way they rule over other human beings, the way they oppress using coercive power, the way they break the law at will, etc

I hate these from my gut!
The good thing is, they also suffer the worst outta this pandemic. No one is safe I tell ya, even the one on the throne, only one deadly mistake and he's gone, trust me...
 
Unaona hii thinking

Yaani mtu akisema haipendi serikali ya nchi anakotoka basi yeye sio raia wa hiyo nchi?

Nani alikuambia serikali ni nchi?

Au nani alikuambia viongozi wa serikali ni nchi?

Kuichukia serikali ambayo by definition ni group la watu wachache wanaotawala sio kuichukia nchi

Nchi ni kitu kingine na serikali ni kitu kingine

Na pia jifunze kuacha tabia mbovu ya kupangia watu usiowajua uraia wao,wewe sio universal citizenship giver,wewe ni citizen punguani kama mimi na yule
asikusumbue wale ndio walamba matako ya Meco! Yana zamu za kufua chupi za mke wake
 
Deputy Secretary-General Meets Military Attaché of Tanzania Mission

UN Photo/Eskinder Debebe

Deputy Secretary-General Meets Military Attaché of Tanzania Mission​

Deputy Secretary-General Asha-Rose Migiro (centre) meets with Martin Mwankanye (second from left), Military Attaché of the Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations.
01 July 2010
United Nations, New York
 
Unaona hii thinking

Yaani mtu akisema haipendi serikali ya nchi anakotoka basi yeye sio raia wa hiyo nchi?

Nani alikuambia serikali ni nchi?

Au nani alikuambia viongozi wa serikali ni nchi?

Kuichukia serikali ambayo by definition ni group la watu wachache wanaotawala sio kuichukia nchi

Nchi ni kitu kingine na serikali ni kitu kingine

Na pia jifunze kuacha tabia mbovu ya kupangia watu usiowajua uraia wao,wewe sio universal citizenship giver,wewe ni citizen punguani kama mimi na yule
Hata vitabu vya dini vinasema heshimu Serikali iliyoko madarakani, kwa sababu imeruhusiwa na yule aliyeumba vitu vyote. U nani wewe unayedharau Serikali? Romans 13:1-12.
Amelaaniwa mtu wa wa namna hiyo!
Ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti milele na milele ndiyo sehemu yake ya mapumziko milele na milele!
 
Kupumua kwa marehemu dakika za mwisho kabla ya uhai wake kulikuaje? .
 
Hivi iliposemwa kwamba njia za kuambukizwa UKIMWI ni kufanya ngono za hovyo hovyo, kulawitiana hovyo hovyo, kuongezwa damu mishipani hovyo hovyo, kujidunga masindano hovyo hovyo, nk.
Hivi mlitaka serikali ichukue hatua gani nyingine? Kununua dawa ya ku- castrate wanaume wote kwa muda mpaka hapo UKIMWI utakapotokomea?

Taratiibu tafadhali. Hii hatari kubwa. Sasa utokomeze ukimwi kwa kuangamiza kizazi cha binadamu? Ni kama Trump alipopendekeza unywaji wa bleach kuangamiza virusi vya corona mwilini!
 
Angalia huyu nae

Ndio shida ya wakristo,ni wapumbavu kupita maelezo,mnadhani dunia nzima ni wakristo kama nyie,hivyo mnawasukumia uktristo through our throats by default

Sikutambui,sitambui ukristo,sitambui hicho kitabu,si subscribe kwenye huo upumbavu.Ukristo ni imani yako binafsi hainihusu,keep it for yourself

Hiyo bible unaijua wewe,huyo Kristo unamjua wewe,i dont know that nonsense..Na sitaki unisukumie hizo imani zako...Kaa nazo wewe

Kama una hoja za siasa tunazo zungumzia hapa,sitoe hapa tubishane,sio mambo yako ya binafsi unasukumia wengine as if we know anything au tunaamini huo upumbavu wa Ukristo ulio nao....
Duu!!
 
Back
Top Bottom