TANZIA Brigedier General Martin Mwankanye wa JWTZ afariki dunia

TANZIA Brigedier General Martin Mwankanye wa JWTZ afariki dunia

Thats why I really hate the government...

I have strong disdain with the serikali

I dont like them at all. The way they present themselves, the way they rule over other human beings, the way they oppress using coercive power, the way they break the law at will, etc

I hate these from my gut!
Calm down bro, calm down. You mean this government killed the said General?
 
Kila jeshi duniani lina vikosi vinavyoshughulikia mambo nyeti, mapambano nyeti even across the borders kabla hujaona mamizinga au ndege.
Itoshe kusema hivyo mkuu.
Tunaelewa mkuu.. mwaga amabyo hayana athari tena.. au utajulikana kuwa ni wewe . Maana hayo mambo yenu yana code.. ukiyaongea wanajua ni ofisi fani au mtu flani.. poa
 
Mungu aliaze pema peponi roho ya Mwankanye; nimesikia habari ya yeye kufa baada ya kusikiliza hotuba zilozotolewa wakati wa mazishi ya General Martin Mwakalindile. Tulisoma naye Tabora ingawa alikuwa mbele yangu sana. Wakati nikiwa Form 1 yeye alikuwa Form Form 6, ila alikuwa anajulikana sana kwa vile Headmaster Msaki alikuwa akimpenda sana na vile vile alikuwa Senior Platoon Commander wa Coy A.
 
General martin mwakalindile mtu wa kyela au
 
R.I.P. Nini cause ya kufa kwake?
Hilo swali mwenye jibu zuri kukupa ni mama yako.
Sijafanya hivyo kukutukana ila namanisha huyu umri wake ni sawa na baba yako
Hivyo mama yako ana majibu mazuri zaidi
sio kwenye TANZIA mtu anauliza maswali ya kijinga
 
Umekunywa hata chai lakini?Unaonekana una stress za maisha. Pole sana. Nipe number yako nikutumie walau elfu 10 unywe chai.
 
Umekunywa hata chai lakini?Unaonekana una stress za maisha. Pole sana. Nipe number yako nikutumie walau elfu 10 unywe chai.
mtu wa kuuliza swali la design hii sio wa kuweza kunipa mimi elf kumi.Mimi natumia hela toka zamani kukiwa na noti ya shillingi tano ya zambarau na wakati huo noti ya shilingi ishirini ilikuwa inaitwa pound kwa sababu tu ilikuwa sawa na thamani ya pound moja ya wingereza sio sasa pound moja ni sawa na shillingi 3196 za Tanzania.Sizani ulishazaliwa wewe.
Usidhani kila aliyepo group hili mko level moja huwezi uliza sababu ya kifo cha mtu kwenye mitandao ya kijamii na ndio maana mashirika,serikali,makampuni,vyuo,familia,majeshi,mashirika ya dini huwa kuna msemaji mkuu.Na anakuwa analipwa na amesomea public relation kwa level ya shahada.
Na ndio maana hata kwenye msiba kuna mtu anasema sababu ya kifo cha marehemu.
Unaona umetoa point sana.
Angalia Avatar yangu na signature yangu chini yenye maandishi mekundu ndio utajua unaongea na mtu wa level gani.
 
Back
Top Bottom