Brighton & Hove Albion F.C. (The Seagulls) | Special Thread

Brighton & Hove Albion F.C. (The Seagulls) | Special Thread

Humna tofauti na wale wanajifanya Azam ila ukipiga Hesabu ya umri wao unaona wanaangukia Dunduka au Jangwa linalo nyesha mvua na mafuriko.
 
😅😅 nichekege tuuh ila hapa mzee umeyumba kufungwa mara moja tuuh ,ushabadiki na timu
Mara moja!? 😁

Nilikuwa United tokea enzi za Fergie ila kinachoendelea hakieleweki.

Kuhamia Brighton sitegemei watashinda EPL kabla ya United ila ni rahisi kufurahia mchezo wa football ukishabikia lesser clubs maana kuna low expectations kutoka kwa mashabiki.
 
Linda afya Yako ya akili
Safi chief tupo pamoja japo sishabikii timu yoyote sasa ila sishabikii manutd pia...
 
Huu uzi una-engagement kubwa, kuliko ule wa timu fulani.
 
Tukutane hapa mashabiki wa Chelsea na Man Utd walau tupooze machungu yetu..

Yeah BHA to the top. Come on Seagullssss
 
Back
Top Bottom