Bring back our Channel 5

Bring back our Channel 5

chanel 5 (EATV) ilikuwa 2007 bhana! sa hvi kimengeuka ukumbi wa siasa! mim nimehamia Box africa tv na kidogo mtv base, na discover science tv bhasi!
Discovery na National geographic channel wako poa saana
 
Tatizo kwenye hizi media inatokea mtu mmoja au wawili wenye nguvu sana ya maamuzi kiasi kwamba wanaamini wao wapo smart kuamua ata wengine watapenda nini. Haya ndio madhara ya mawazo kutoka juu kwenda chini kwa watekelezaji, utafeli tu. Wengi wamefeli ata 5 watafeli na graphics zao.

sio watafeli washafeli mi binafsi sasa hv siiangalii huwa napita tu km jana sijui km nivarna ilikuwepo
yaani wamefulia vbaya huyo mshauri wao sijui ana lengo la kuipoteza kwenye ramani
 
Wataanza kuwazingizia mawingu wanawahujumu kumbe wao wenyewe wanajihujumu
 
Hahaha ukisoma comment za humu unaweza kujiuliza hawa watu bongo wanaangalia channel gani na huwa wana sikiliza radio gani? Maana Channel 5 hawafai.., Clouds media hawafai!

Yani mtu anasema watu sio wabunifu kwakuwa kuna Kurasa na Hotmix!
 
Pamoja na mabaya yake yote mliosema ikiwa ni pamoja na presenters kukimbia kimbia(kuhama)bado huwezi kuilinganisha eatv na mawingu.ni sawa na guta na Carina Ti.Eatv ni Carina... Mawingu ni guta.
 
Hahaha ukisoma comment za humu unaweza kujiuliza hawa watu bongo wanaangalia channel gani na huwa wana sikiliza radio gani? Maana Channel 5 hawafai.., Clouds media hawafai!

Yani mtu anasema watu sio wabunifu kwakuwa kuna Kurasa na Hotmix!

mi naangalia asubuh star tv magazeti,baadae ch ten then naingia tv one kidogo wako vizuri usiku taarifa ya habari itv , kmiataifa star tv na michezo kwa station za bongo
 
Kweli pamoja na hayo yote unaweza kukubaliana na mtu anaye sema channel 5 siyo wabunifu?
Unajua vijana tunafikiri channel five wanapo sema channel ya vijana basi wawe wanaonesha muziki na macelebrity basi..

Hakuna channel ya burudani yenye ubunifu mzuri hapa bongo kama Eatv! Unajua walipo buni KURASA walijua kabisa vijana wengi hawapendi habari na kama watataka kuiona basi kwa ufupi ndio maana KURASA inatoa habari karibu zote kwa ufupi hata ukikosa ITV basi pale umepata! Vijana tuna sahau kuwa lengo si kuburudisha tuu Bali hata kuhabarisha!

Kipindi kama Hot mix ni Moja ya vipindi bora kabisa kwenye station za kibongo na kimefanya Channel five kuwa nawaangaliaji hata wa rika lingine maana kupitia kipindi hiki vijana wanaelimishwa ipasavyo!

Kipindi kama ujenzi ni kipindi kizuri sana kwa rika lote kinasaidia vijana na kuwakumbusha kuhusu maendeleo siyo kuwaza kurap tuu na kuvaa milegezo!

Mimi nafikiri tunapswa kuondoa mentality tuliyo nayo vichwani mwetu kuwa ujana ni burudani tuu!

Kusema channel 5 siyo wabunifu ni kuishangaza dunia!
 
Wataanza kuwazingizia mawingu wanawahujumu kumbe wao wenyewe wanajihujumu

Kama wewe sio mchochezi na mchonganishi hebu tupe mfano wataanzaje kusema wanahujumiwa na Clouds? Jenga hoja acha uchonganishi!
 
Hahaha ukisoma comment za humu unaweza kujiuliza hawa watu bongo wanaangalia channel gani na huwa wana sikiliza radio gani? Maana Channel 5 hawafai.., Clouds media hawafai!

Yani mtu anasema watu sio wabunifu kwakuwa kuna Kurasa na Hotmix!
hakuna kazi ngumu kama kuanzisha tv station na kuwa na vipindi bomba na watangazji wazuri, hiki ndicho kilichowashinda clouds huu mwaka wa wa tano bado wana shindwa kukidhi kiu ya watazamaji wao. Tatizo la EATV sio kwamba watu hawaangili, watu wanaangalia sana ila ubunifu umepungua fananisha planet bongo ya salama na ya huyu dulla ipo sawa??
 
Kama wewe sio mchochezi na mchonganishi hebu tupe mfano wataanzaje kusema wanahujumiwa na Clouds? Jenga hoja acha uchonganishi!
mkuu huoni mapresenter kibao wanavyotimkia mawinguni huoni kama hiki ni kigezo
 
Wala si Mawingu labda useme Azam TV! Kuna muda ukifika watu wataondoka hata ufanye nini na usije ukafikiri hitaji la mtu linaweza likawa pesa tuu! Mtu kwa sababu ni maarufu na umaarufu kaupatia hapo hapo bado anataka alipwe kuliko wengine! Na Tasnia ya habari mishahara ni hile hile hakuna kwenye mishahara minono kwa vicirtificate na vi diploma!
 
Kweli pamoja na hayo yote unaweza kukubaliana na mtu anaye sema channel 5 siyo wabunifu?
Unajua vijana tunafikiri channel five wanapo sema channel ya vijana basi wawe wanaonesha muziki na macelebrity basi..

Hakuna channel ya burudani yenye ubunifu mzuri hapa bongo kama Eatv! Unajua walipo buni KURASA walijua kabisa vijana wengi hawapendi habari na kama watataka kuiona basi kwa ufupi ndio maana KURASA inatoa habari karibu zote kwa ufupi hata ukikosa ITV basi pale umepata! Vijana tuna sahau kuwa lengo si kuburudisha tuu Bali hata kuhabarisha!

Kipindi kama Hot mix ni Moja ya vipindi bora kabisa kwenye station za kibongo na kimefanya Channel five kuwa nawaangaliaji hata wa rika lingine maana kupitia kipindi hiki vijana wanaelimishwa ipasavyo!

Kipindi kama ujenzi ni kipindi kizuri sana kwa rika lote kinasaidia vijana na kuwakumbusha kuhusu maendeleo siyo kuwaza kurap tuu na kuvaa milegezo!

Mimi nafikiri tunapswa kuondoa mentality tuliyo nayo vichwani mwetu kuwa ujana ni burudani tuu!

Kusema channel 5 siyo wabunifu ni kuishangaza dunia!

kuna vipindi vilikuwepo vizuri kweli wameviondoa
hotmix kizuri ila na huwaga sometimes naangaliaga habari za kimataifa kwenye hotmix na michezo ila kilivyokuwa mwanzo na sasa tofauti kwa kweli kimepoteza mvuto ht kuangalia mfano jana NIRVANA haikuwepo,uswazi leo wiki ya pili hakipo,planet bongo imeoneshwa jumatatu,ujenzi haikuwepo wiki hii.
yaani vurugu tupu, mi naona marangi rangi tu sasa hivi
 
Hahahaha vipindi vyote ulivyo sema vipo na nirvana jana kilikuwepo saa3:00! Kuna ratiba mpya ya vipindi vyote!
 
NimeshAngaa Sana Kwa Mda nilikua mbali na tv Kutokana na Miangaiko ila eatv kwa sasa Haina MVUTO... KUna Vipindi Vilikua bomba sana naona hakuna Skonga wanarudia za zamani, Top Teni Hakuna, Nyimboza Mbele Mpya Hakuna.. Sawa mnawapa nafasi wasanii wa ndani basi pigeni nymbo tofauti tofauti sio nikiiona nymbo tarehe moja mpaka tarehe 30 iwe hyo hyo... Bongo movie ndo imeharibu ratiba za pale kabisaaaa...

binafsi vipindi ambavyo ningependa virudishwe ni
1 Top Ten.. Acha ya miaka ya karibuni ya uganda kenya natz nataka ile iliyokua mixture
2 Hip Hop base
3 In DA House
4 Skonga watafute presenter wa Kuiendeleza
5 Miziki Mipya IwepoPia YApande zote
6 the Exclusive (hiki kilikua ni kipindi cha kupiga nymbo mpya tuu)
7 Kurudia Rudia miziki na Mamovie ya Kibongo Inakera
baadhi ya Vpnd Vpo Nje yamanagement ya eatv ila tungependa Kuviona
mfano FId style Friday

Wasipo jirekebisha Wataumbuka Wenzao wanajipanga kilasiku
 
bora tuwe wengi walalamikaji wajue wanapotea sasa hivi
 
Back
Top Bottom