Bring back our Currymastorytz!!

Na hizi mvua unakuta yuko mahali amejifungia na njemba wanagegedana tu
 
Tushusheni nusu mlingoti kuonyesha ishara ya HESHIMA

Kwa mmbea wa TAIFA kutoweka paspojulikana

Natangaza rasmi JUMAPILI itakua siku ya mapumziko na maombi

Hamna kwenda kazini wote ila kwa wafanyabiashara nyie nendeni tu

Mlio serikalini JUMAPILI nimesema ni siku ya mapumziko na maombi
 
Kuanzia leo saa Tisa Mpaka jumatatu kabla ya saa 12 jion atakuwa amepatikana teyar
 
Juzi tu hapa alihojiwa na wasafi tv kuhusu ishu ya menina na mwinjaku akasema alitumiwa video na aliziangalia mwanzo mwisho.. so sishangai Jamhuri kufanya yake kupitia cybercrime
 
kafungiwa na bwana ake anagawa utamu tulieni tu
 
Namuombea sana awe mzima na apatikane niliamua kumfollow insta baada ya kusikia habari zake ila baada ya kuona anachofanya nilimkimbia haraka sana binafsi nawachukia watu wanaofanyia wengine bullying kwa kigezo cha kufichua maovu
Akipatikana tafadhari sana aache huo mtindo watu aina yake wote niliwakimbia akiwemo Sudi na Manara
 
See you there very soon. Jah bless all
 
Hii nayo ni issue kweli wangapi wanapotea huko hamtangazi. Kila mtu apambane na hali yake
 
Umbea alifanya ndio kazi yake huenda alifukua makaburi ambayo sio Salama.
 
Kasahau password ya account tu. Kuweni wavumilivu atarudi kuwakonga nyoyo wambea wenzake nini kinaendelea.
 
Anatafuta kiki tu huyo yupo amejificha ili ionekane ametekwa hana lolote huyo!

Carry mastory acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…