Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe umeongea kama mwanamme wa kweli
kafungiwa na bwana ake anagawa utamu tulieni tu24hrs sasa utata wa alipo mbeya wa social media haonekani na hizi taarifa ni rasmi sasa kutoka ndani ya familia ya mwanadada huyu maarufu mitandaoni especially wa Instagam kuwa hajaonekana tangu juzi usiku alipomsalimia mama yake kwa njia ya simu.
Kuna taarifa za kutatanisha za alipo kwa saa 24 zilizopita mwandishi wa habari na DJ maarufu anayefahamika kama @djcarrytz ama wengi wanamfahamu kwa jina la udaku la Carrymastory
#DiamondPlantinymz tusaidie kumtafuta mbeya wetu. View attachment 1236721
See you there very soon. Jah bless allNamuombea sana awe mzima na apatikane niliamua kumfollow insta baada ya kusikia habari zake ila baada ya kuona anachofanya nilimkimbia haraka sana binafsi nawachukia watu wanaofanyia wengine bullying kwa kigezo cha kufichua maovu
Akipatikana tafadhari sana aache huo mtindo watu aina yake wote niliwakimbia akiwemo Sudi na Manara
Hahahaa kwa kweliiKaenda kutafuta umbea
wale mabaunsa ni wakupigia picha za kujimwambafy.Si alikuwa na ulinzi wa mabaunsa huyu[emoji849][emoji849][emoji849]
Kumbe kuna mtu mhimu na asiye muhimu? Ubinadamu umeenda wapi zama hizi za awamu ya tano.Kwa hiyo taifa limempoteza mtu muhimu?