BRING BACK OUR PLUJM

BRING BACK OUR PLUJM

Wadau toka amekuja huyu kocha Lwandamina naona kiwango cha klabu yetu ya Yanga kinashuka kwa kasi ya ajabu sana... Yaani tumekua Yanga Mdebwedo yani sisi wakupigwa Goli nne na Azam... Naomba uongozi wa Yanga umrudishe Hans Van Plujm haraka iwezekanavyo
Kufungwa mechi moja ndo kiwango kimeshuka?
 
Daaah huyu Lwandamina wamemtoa wapi maana this is too much
 
IMG_20170107_214655_933.JPG
 
Back
Top Bottom