Brings back Moses Lijenje campaign

Brings back Moses Lijenje campaign

Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake,hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao,na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia.

Bring back Moses Lijenje.
Roho za wanaopotea zinaitesa sana serikali hii. "Bring back Moses".
 
Hivi uyu linjenje alikuwa bado mtumishi au aliacha kazi maana hapo sielewi.polisi kwanini wawape kichapo wenzao kiasi hicho
 
Hata huu Uhuni wao wa " Alipoenda kutuonesha silaha, akakimbia"

Ndipo polisi wetu wakamfyatulia rsasi za miguu.

Amekufa akiwa njiani.
Mungu amtangulie KAMANDA
7C1D96E9-8828-4962-A38B-256B7235A3AB.jpeg
 
Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake,hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao,na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia.

Bring back Moses Lijenje.
Wewe mkenya usiinglie mambo ya watanzania ukilinganisha na uharifu mnaoufanya huko Somalia
 
Back
Top Bottom