Brings back Moses Lijenje campaign

Mmoja wa watuhumiwa wenzanke na Mbowe Mohamed Lig'wenya anadai kuwa alikamatwa na mwenzake anayeitwa Moses Lujenge lakini mpaka sasa haijulikani alipo.

Mohamed Ligw'enya ameieleza mahakama kuu divishen ya rushwa na uhuju uchumi kuwa Moses Lujenge alikuwa miongoni mwa watu aliokamatwa nao hivyo alipaswa kuwa mmoja wa watuhumiwa mahakamani. Lakini anadai kuwa askari polisi waliokuwa wakimsafirisha kutoka kituo cha polisi Tazara kwenda Mweni walimuambia kuwa Lujenge is dead.

Yuko wapi mtuhumiwa Moses Lujenge?
 
Ushasema is dead unataka tufanyeje
 
Waliotupwa wapo wengi sana... Na wote hatujapewa taarifa yoyote ya maana!
Ipo siku kibao kitageuka na yote yatajulikana!
Lakini kwa sasa usitarajie makubwa sana!
 
Imeandikwa Katika Biblia, kitabu cha Mithali 14:34 "Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu

Kwa haya tunayosikia yakifichuliwa Katika kesi ya ugaidi ya akina Mbowe, naweza kuthubutu kusema kuwa hatuna Jeshi la Polisi nchini, bali tuna kundi la majambazi!
 
Kingai kamtoa roho tayari
 
Leo umeona umuhimu wa kuzungumzia mambo yenye maana
 
Wewe ni Komredi Aliyechoka parody wa Lumumba, unahangaika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…