Brings back Moses Lijenje campaign

Huna akili bwege mkubwa.
Huko kwenu, walio hai hudhani wao hawatakufa . Hufanyia wenzao unyama, ukatili na ubambikaji .

Lakini Mungu ni fundi. Wameshindwa kujifunza kwa Maghufuli. Ya duniani hatuendi nayo popote. Acha waue na watese watu . Yote ni ubatili mtupu.
 
Siku zote tunaposema kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha matendo ya kidhalimu na kifedhuli ya kundi lile la INTERAHAMWE na ya CCM ni lazima watu watuelewe.

Matendo hayo yanaratibiwa na makada katili, wazandiki na wenye fikra za uovu, ambayo husimamiwa na kutekelezwa na UVCCM na Green Guards waliofichwa ndani ya vyombo vya dola.

Majina ya watu kama Kingai, Mahita Jr, Sabaya na Makonda yenye kuhusishwa na uharamia uliotendeka wakati wa utawala wa mwendazake huthibitisha ukweli huu.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Tuleteeni Moses Lijenje
 
Sioni kama kingai ana maisha marefu jwtz wasikie tu tena komando uwiiiiiii kabisa naona vijana wa mabeyo wakienda kulipa kisasi kwa kijana wa siro
 
Huyu komandoo wetu ndiyo basi tena, maana siku zinayoyoma kimyaaa.
 
Huyu komandoo wetu ndiyo basi tena, maana siku zinayoyoma kimyaaa.
Kuna siku watasema tuu

Damu ya mtu hunuka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…