Britannica ameishiwa mafaili ati anampigia Locosta ampe File no 97S

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Hahahaha! Kajamaa kana mikwala balaa. Unakumba ule mkwala wake wa nchi kutikisika? Hahaha! Jamaa ana vituko sana.

Jamaa anakuja na vimada vyake vya kuokoteza huku na huko. Ili mradi tayari ana kondoo wake wanaomwamini aaah! Sasa Britannica unamsumbua Jamaa, Locosta alipe faili no 97S ili ufanyie nini. Unataka kuthibitisha kitu gani kwa kondoo wako.

Wewe ilikomboa mwenyewe Area G kwa tamaa zako za ajabu ajabu. Kwanza timu uliyoichagua tangu 2017 ni Defeated team. Usimuingize Matatizoni Locosta sawa mzee.

Alafu hilo faili unalotaka kulitoa kesho linauzushi mwingi kuliko ukweli. Limeratibiwa na Mr. Cheka mwenyewe ili uendelee kuaibika.

Septemba imeisha tayari hakuna chakutokea, yule mwenzako wa aliyesema Lissu atatoka naye alipewa tango pori. Na bado. Siye twasogeza bao nyie endeleeni kulalama. Na bado
 
Hahahaha! Kajamaa kana mikwala balaa. Unakumba ule mkwala wake wa nchi kutikisika? Hahaha! Jamaa ana vituko sana. Jamaa anakuja na vimada vyake vya kuokoteza huku na huko. Ili mradi tayari ana kondoo wake wanaomwamini aaah! Sasa Britannica unamsumbua Jamaa, Locosta alipe faili no 97S ili ufanyie nini. Unataka kuthibitisha kitu gani kwa kondoo wako. Wewe ilikomboa mwenyewe Area G kwa tamaa zako za ajabu ajabu. Kwanza timu uliyoichagua tangu 2017 ni Defeated team. Usimuingize Matatizoni Locosta sawa mzee.

Alafu hilo faili unalotaka kulitoa kesho linauzushi mwingi kuliko ukweli. Limeratibiwa na Mr. Cheka mwenyewe ili uendelee kuaibika. Septemba imeisha tayari hakuna chakutokea, yule mwenzako wa aliyesema Lisu atatoka naye alipewa tango pori. Na bado. Siye twasogeza bao nyie endeleeni kulalama. Na bado
Kama Hawa ndo vijana wa usalama wa taifa basi hii nchi haitakaa iendelee..
Kuandika kwenyewe shida ndo mtaweza kutunza Siri za nchi kweli!?
 
Wewe utakuwa Abdul bila shaka.

Sasa bwashee, kaa kwa kutulia, endelea na lowkey life, acha mbwembwe.

Screenshot_20250905_105537.jpg
 
Siasa za uchaguzi hizi....yote haya Ili kumlinda mgombea pekee.

Hii nchi inahitaji mageuzi.
 
Hahahaha! Kajamaa kana mikwala balaa. Unakumba ule mkwala wake wa nchi kutikisika? Hahaha! Jamaa ana vituko sana. Jamaa anakuja na vimada vyake vya kuokoteza huku na huko. Ili mradi tayari ana kondoo wake wanaomwamini aaah! Sasa Britannica unamsumbua Jamaa, Locosta alipe faili no 97S ili ufanyie nini. Unataka kuthibitisha kitu gani kwa kondoo wako. Wewe ilikomboa mwenyewe Area G kwa tamaa zako za ajabu ajabu. Kwanza timu uliyoichagua tangu 2017 ni Defeated team. Usimuingize Matatizoni Locosta sawa mzee.

Alafu hilo faili unalotaka kulitoa kesho linauzushi mwingi kuliko ukweli. Limeratibiwa na Mr. Cheka mwenyewe ili uendelee kuaibika. Septemba imeisha tayari hakuna chakutokea, yule mwenzako wa aliyesema Lisu atatoka naye alipewa tango pori. Na bado. Siye twasogeza bao nyie endeleeni kulalama. Na bado

Habari za unguja ndugu yangu, waendeleaje na Hali? Haha

Bado upo mitaa ya bububu
 
Kama Hawa ndo vijana wa usalama wa taifa basi hii nchi haitakaa iendelee..
Kuandika kwenyewe shida ndo mtaweza kutunza Siri za nchi kweli!?
Na ndio 80% intake ya JK na Magufuli

Wajinga wajinga Sana

wazalendo wote wapo benchi sasahivi
 
Back
Top Bottom