Britannica ameishiwa mafaili ati anampigia Locosta ampe File no 97S

Britannica ameishiwa mafaili ati anampigia Locosta ampe File no 97S

Ukweli ni kwamba Britannica mnamuogopq hadi mnavamiq ofisi za JF.Kama anaongea uongo si mngempotezea tu?

Huyo tunayemlisha matango pori. Kesho utamwona hapa anaubuyu Wamoto
 
Huyu ni yule mwenye ID ambaye, huropoka ropoka humu, kama alishaguswa anapokalia. Mpotezeeni, hiyo ID kaipumzisha muda. Ndiyo akili zake ziko kama kisogo chake kilivyo.

Na bado. Mtasaga meno mwaka huu
 
Back
Top Bottom