October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Siye twasogeza bao nyie endeleeni kulalama. Na bado
Umenotice hilo na wewe pia 😂Huu mwandiko sio wa bara.
Kama Hawa ndo vijana wa usalama wa taifa basi hii nchi haitakaa iendelee..Hahahaha! Kajamaa kana mikwala balaa. Unakumba ule mkwala wake wa nchi kutikisika? Hahaha! Jamaa ana vituko sana. Jamaa anakuja na vimada vyake vya kuokoteza huku na huko. Ili mradi tayari ana kondoo wake wanaomwamini aaah! Sasa Britannica unamsumbua Jamaa, Locosta alipe faili no 97S ili ufanyie nini. Unataka kuthibitisha kitu gani kwa kondoo wako. Wewe ilikomboa mwenyewe Area G kwa tamaa zako za ajabu ajabu. Kwanza timu uliyoichagua tangu 2017 ni Defeated team. Usimuingize Matatizoni Locosta sawa mzee.
Alafu hilo faili unalotaka kulitoa kesho linauzushi mwingi kuliko ukweli. Limeratibiwa na Mr. Cheka mwenyewe ili uendelee kuaibika. Septemba imeisha tayari hakuna chakutokea, yule mwenzako wa aliyesema Lisu atatoka naye alipewa tango pori. Na bado. Siye twasogeza bao nyie endeleeni kulalama. Na bado
Mwandiko unanukia marashi ya karafuu🐼✅Umenotice hilo na wewe pia 😂
Nimeshangaa kweliWeka na wewe tu kati ya kumi uliyotabiri hata mawili yaliyofanikiwa lakini nafurahi zaidi kumbe na ww pia unamfuatilia nyuzi zake😀
Hahahaha! Kajamaa kana mikwala balaa. Unakumba ule mkwala wake wa nchi kutikisika? Hahaha! Jamaa ana vituko sana. Jamaa anakuja na vimada vyake vya kuokoteza huku na huko. Ili mradi tayari ana kondoo wake wanaomwamini aaah! Sasa Britannica unamsumbua Jamaa, Locosta alipe faili no 97S ili ufanyie nini. Unataka kuthibitisha kitu gani kwa kondoo wako. Wewe ilikomboa mwenyewe Area G kwa tamaa zako za ajabu ajabu. Kwanza timu uliyoichagua tangu 2017 ni Defeated team. Usimuingize Matatizoni Locosta sawa mzee.
Alafu hilo faili unalotaka kulitoa kesho linauzushi mwingi kuliko ukweli. Limeratibiwa na Mr. Cheka mwenyewe ili uendelee kuaibika. Septemba imeisha tayari hakuna chakutokea, yule mwenzako wa aliyesema Lisu atatoka naye alipewa tango pori. Na bado. Siye twasogeza bao nyie endeleeni kulalama. Na bado
Na ndio 80% intake ya JK na MagufuliKama Hawa ndo vijana wa usalama wa taifa basi hii nchi haitakaa iendelee..
Kuandika kwenyewe shida ndo mtaweza kutunza Siri za nchi kweli!?
So what?Huu mwandiko sio wa bara.