Britannica ameishiwa mafaili ati anampigia Locosta ampe File no 97S

Nikukumbushe tu wote tumeumbwa na MUNGU mmoja.Mateso unayosabanisha Kwa binadamu wenzako IPO siku na wewe utalipa tu.Adhabu siyo lazima iwe hapa duniani .Ndani ya kaburi au geneza utalipa tu mateso haya.

Leo unafurahia damu ya Damu ya Mdude na Soka Deus ulizo zimwaga .Watoto wako na familia yako lazima watalipa hiii damu hapa duniani
 
Don't pretend to be...... Muda wa kufurahia ujinga umekwisha.
 
Huu uongeaji ni kama wa huyu jamaa with no ballls.
 

Attachments

  • Varys-Conleth_Hill.jpg
    15.5 KB · Views: 27

Ninyi Wabara ndio wamwagaji damu
 


Nyie wanawake ambao hamjaenda uandishi wenu. Utadhani unamsuta mwanamke mwenzieo. Mbona @britannica ni mwanaume na huwa anaandika kiume. Sasa wewe sijui bwana ako sijui nani kakutuma uje kumjibu huyu jamaa kwa kumsuta na taarabu. Aiseeee.... Upo MAKUNDUUCHI AU MCHAMBAWIMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…