Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.mbona hii sio mpya,
haina wateja tena sasa kwanini isifungwe π
hata ICC wanataka kuifunga,Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
Nini chanzo cha kukosa wateja.mbona hii sio mpya,
haina wateja tena sasa kwanini isifungwe π
Tanzania ina jitegemea na kujitosheleza by almost everything in all spheres of life πNini chanzo cha kukosa wateja.
Jambazi linaposikia mahakama za Tanzania zinafungwa utaona litakavyofurahi.hata ICC wanataka kuifunga,
na kwahivyo hakuna jipya hata kidogo gentleman π
hayupo wa kuthubutu kufunga au kuingilia uhuru wa mahakama huru za Tanzania gentleman.Jambazi linaposikia mahakama za Tanzania zinafungwa utaona litakavyofurahi.
Usishangae wakiamua kufanya consolidation ya diplomatic missions zao za East Africa ili nchi zote za East Africa zihudumie na ofisi moja ya Nairobi. Umuhimu wetu unapungua kadri siku zinavyokwenda!Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali
View attachment 3629608
Kwa sasa kukitokea jambo lolote huko ulaya linalohusu kupunguza matumizi Nchi ya kwanza inayofikiriwa ni Tanzania.
Hii ni Aibu sana
Mungu wabariki WazunguUsishangae wakiamua kufanya consolidation ya diplomatic missions zao za East Africa ili nchi zote za East Africa zihudumie na ofisi moja ya Nairobi. Umuhimu wetu unapungua kadri siku zinavyokwenda!
Sisi Wasomi tunajua umuhimu wa British councilUgeni una mwanzo na mwisho.
No way out.Sisi Wasomi tunajua umuhimu wa British council
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaidahata ICC wanataka kuifunga,
na kwahivyo hakuna jipya hata kidogo gentleman π
Na tunapaswa kuwaita ccm kikundi cha kigaidi na serekali yake inadhamini makundi ya kigaidi. Ref ni Mbwa mwitu na chui weusi wa shekhe Mwaipopo.Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
Kuna binti wangu ameajil8wanpale for some decades. What next to these employees masikini!Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali
View attachment 3629608
Kwa sasa kukitokea jambo lolote huko ulaya linalohusu kupunguza matumizi Nchi ya kwanza inayofikiriwa ni Tanzania.
Hii ni Aibu sana