Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ni hatari sana, Serikali ya Mama itawatafutia kazi za ndani DubaiKuna binti wangu ameajil8wanpale for some decades. What next to these employees masikini!
Ni hatari sana, Serikali ya Mama itawatafutia kazi za ndani DubaiKuna binti wangu ameajil8wanpale for some decades. What next to these employees masikini!
Nilifikiri waliishaondoka zamani sana. Kumbe walikuwa bado wapo? By the way, walikuwa wanafanya kazi gani hapa?Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali
View attachment 3629608
Kwa sasa kukitokea jambo lolote huko ulaya linalohusu kupunguza matumizi Nchi ya kwanza inayofikiriwa ni Tanzania.
Hii ni Aibu sana
Mitandao ndiyo sababu. Watu wanapata mahitaji yao kwenye simu zao majumbani Hawaendi huko tena.Nini chanzo cha kukosa wateja.
Ni kurudi majumbani kuangalia utaratibu mwingineKuna binti wangu ameajil8wanpale for some decades. What next to these employees masikini!
Umeishia darasa la ngapi?Nilifikiri waliishaondoka zamani sana. Kumbe walikuwa bado wapo? By the way, walikuwa wanafanya kazi gani hapa?
G. Msigwa kawafokea BBC,hahahaaaSababu imetajwa ipi?
Ohooo, those old good days. Nakumbuka enzi hizo, wajanja British Council ndiyo ilikuwa center zetu. Bila kusahau USIS (United States information service)Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali
View attachment 3629608
Kwa sasa kukitokea jambo lolote huko ulaya linalohusu kupunguza matumizi Nchi ya kwanza inayofikiriwa ni Tanzania.
Hii ni Aibu sana
PhD Candidate in Community Economic Development.Umeishia darasa la ngapi?
Unaandika kama utani; lakini huu siyo utani hata kidogo.Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
Watu wanaenda kwa Rasi Simba wao wanafundisha kiingereza kwa bei kubwa mno na sisi tunasoma shule siyo priority tena sijui hata trends za wateja wao kwa mwaka ni wangapi?kupunguza gharama