BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Na pia SASINI, KAPKATET, BROOK, CHAMJI, TENGECHA, FINLAY'S, KAPCHEBET, KABIANGA, LITEIN, CHERTUNGO etc...Unaongea kuhusu nchi gani? Wakenya wanakunywa chai kwa wingi, tena majani chai ya Kenya kando na kuuzwa nje ya nchi na bara hili bado huwa yanatosheleza soko la ndani pia. Alafu sio kibahati bahati kwamba majani chai ya Kenya yana sifa ya ubora wa hali ya juu zaidi duniani kote. Usife kabla hujanywa premium tea kutoka Kenya, sanasana brand ya Kericho Gold Tea, its the real deal nakuambia.