... na Tz ni jamvi la nyang'au
maanake Mufindi ambayo huwa mnaisifia inamilikiwa na mkenya David Lang'at wa DL Koisagat Group of Companies. David Lang'at alinunua Mufindi kutoka kwa mzungu ambaye anamiliki viwanda vingine vikubwa kadhaa vya majani chai na kahawa Tz. Kenya kando na viwanda vya wakulima wakubwa(kampuni na mashamba makubwa ya wazawa k.m Koisagat Estate ya Lang'at) viwanda vingine vyote vinamilikiwa na co-operative za wakulima wadogo.
Mr Langat who owns Koisagat Tea Estate in Nandi County has bought three companies from British firm Rift Valley Corporation for an estimated price of
www.standardmedia.co.ke