British PM - "Half of all the tea drunk in the UK comes to us from Kenya"

Na pia SASINI, KAPKATET, BROOK, CHAMJI, TENGECHA, FINLAY'S, KAPCHEBET, KABIANGA, LITEIN, CHERTUNGO etc...
 
Ni ngumu upate mkenya anakunywa chai toka nje especially mashinani.

Actually most if not all tea factories za majani ziko na canteen apo nje ya kuuza branded tea leaves from the respective factory. Tembea Kenya uonje mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia mwaka huu chai ya Tz haitoletwa Mombasa. Mnada utapigwa Dar es salaam na chai za Burundi na Rwanda zitaanza kuuzwa Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia mwaka huu chai ya Tz haitoletwa Mombasa. Mnada utapigwa Dar es salaam na chai za Burundi na Rwanda zitaanza kuuzwa Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. All the best, hasara itakuwa kwenu sio Kenya. Wanunuzi wote wa kutajika wa majani chai huwa wanafika Mombasa. Ila sidhani Rwanda watakuwa na hamu na mnada wenu, labda Burundi. Majani chai ya Rwanda, 'speciality tea', ndio huwa yananuliwa kwa bei ya juu zaidi pale Mombasa, kisha ya Kenya alafu Uganda. New Guinea na jirani zao Indonesia watachukua nafasi zenu, tayari walishatuma ombi lao rasmi mwaka jana, la kujiunga na Mombasa Tea Auction.
 
Chai kutoka Tz kuileta Mombasa nikuongeza costs kulikoni kuja Dar hii ni kwa mujibu ya stakeholders wa chai. Kuhusu wateja hilo ata lisikupe shaka, kwa dunia ya leo wateja wanapatikana kirahisi sana. Muhimu ni kuhakikishiwa tu uwepo wa mzigo na wenye quality basi. Chai kutoka Rwanda itauzwa Dar Kama unabisha subiri uone ni swala la muda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikakueleza kwamba haina presha. Mombasa Tea Auction ni soko huru, demand na supply ndio huwa zinatawala. Nchi zote ukanda huu zinaleta majai chai yao kwa kupenda kwao sio kwasababu ya mikataba wala kushurutishwa. Indonesia na New Guinea wana hamu ya kusafirisha majani chai yao hadi auction ya Mombasa. Kumbuka kwamba nchi zao zipo mbali sana na Kenya na wapo kwenye bara lingine na kwamba wao pia wana uwezo wa kuanzisha mnada wao.
 
And half of the food eaten in Kenya comes from overseas donations! What's special?
 
Hizo habari za New Guinea ni zako mimi nimeongelea Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya tanzania mabaya? Mbona uniliver wanalimia tz?
 
Dah! Sijawahi kuona siku Watanzania wamekamatwa na kukosa hoja kama kwenye huu uzi, hongera sana pingli-nywee
Yaani wakifunika ninafunua, wakiingia wananipata nipo ndani, wakienda kaskazini, nilishawasili, kusini nako hamna afueni. 😎 Kama ule wimbo wa wale vijana wale, wanaitwaje? Aaaah, Sauti ya Solo! (In Jiwe's voice) Hahaa [emoji1]
 
Yaani mnada wa Dar ukianza tunauza chai yetu TZ ya Rwanda,Burundi, ya Malawi nk...wadau hasa wakulima wadogo wa Mufindi, Njombe, Rungwe na tea factories kv brooke bond, Mufindi Tea, nk wanalalamika chai kuuzwa Mombasa inawakosti zikiwemo gharama za usafirishaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuiwaza tz kila wakati kunakufanya uchanganye mambo.
Anza na comment ya kwanza na majibu yake, chini kuelea juu. Ukianza kunywa chai badala ya mbege na wanzuki ndugu yangu utaacha mazoea ya kudandia treni kwa mbele wakati hata hujui linaelekea wapi.
Alikuwa hajawa muingereza bado
Mkenya amepatana na mteja wa majani chai yake. Haya mambo ya mkoloni miaka hamsini baadaye ni ushamba flani hivi wa hali ya juu. Hivi unajua kwamba muitaliano alikuwa mkoloni wa muingereza milenia iliyopita chini ya 'empire' ya Roma?
Mkenya amekutana na mkoloni amefuraia sana
 

Hizi hadithi za alinacha tumezoea kutoka kwenu, hizo taarifa za mwaka wa 2018. Sio mara ya kwanza tumewaskia mkiwa na mipango ya 'waking up the giant', ila kila mkiamka mnaangukia pua. Haya mambo yanahitaji kushirikisha ubongo sio kuyaendesha kwa chuki.
 
Achana nao, tatizo, kama kwenye ile saga yao ya korosho, ni kwamba Kenya inahusika. Sio auction yenyewe pale Mwambao. Maanake haingii akilini kwamba Malawi na Mozambique wamekuwa wakiyaleta majani chai yao Mombasa, kwa miaka zaidi ya 30 na bado wanayaleta. Kwani biashara ya majani chai kwao ni hobby tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…