actually we're producing enough to satisfy our domestic needs and exportI think a cashew nut auction would work best for TZ compared to a tea auction. Let's be honest tea is not really Tanzania's stronghold!! Opening an Auction just to compete with Mombasa yet there's no clear comparative advantage is a misfit. Why not open a cashews Auction and grow it to be the largest in the world instead of obsessing over what your neighbors is doing.
LOL ni Mkenya mmoja tu ndio nimesikia juzi juzi kakodishiwa Estate ya chaiMufindi Tea factories zenyewe zinamilikiwa na wakalenjin wa Kericho,,,
let's hear from the horse mouth, pamoja na kwamba wapo small growers but biashara ipo mikononi mwa wazungu80% inatoka Kwa small scale growers,,,,
Unilever ni ya Royal family(queen), na ndio ina dominate production ya chai Kenya.LOL ni Mkenya mmoja tu ndio nimesikia juzi juzi kakodishiwa Estate ya chai
Hakuna foreigner anaweza miliki ardhi Tanzania, usijidanganye, chai yote 99% inalimwa na wananchi wenyewe, hata Unilever wanategemea wa Tanzania wenye mashamba wawape mzigo
ukiwasikiliza hawa wapiga tarumbeta unaeza sema Kenya ni kama EuropeOoh now I understand
Sent from my iPhone using Tapatalk
AbsolutelyUnilever ni ya Royal family(queen), na ndio ina dominate production ya chai Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo, leta takwimu. 80% ya majani chai ambayo yanazalishwa Kenya yanatoka kwa wakulima wadogo wadogo. Viwanda vya majani chai wanamiliki wao kupitia co-operative zao za wakulima na majani chai yao huwa wanayauza kupitia shirika lao la KTDA(Kenya Tea Development Authority). Mwaka wa 2019 wakulima wadogo nchini Kenya walizalisha majani chai 481.3 million Kgs. Uganda 61.4 million Kgs, Tanzania 36.8 million Kgs only! Rwanda 30.4, Burundi 9.1. Yaani wakulima wadogo wadogo wa Kenya wanazalisha X4 ya majani chai ya wakulima wenzao wote ukanda huu kutoka Tz, Ug, Rw, na Burundi. Alafu wakulima wa Tz ndio wananunuliwa majani chai kwa bei ya chini zaidi ya hata Burundi.LOL unavyojitapa utafikiri hata hayo mashamba ya chai mnayamiliki ninyi! Mashamba yenyewe ya mkoloni wenu na faida 90% ni ya mkoloni wenu
Hongera Sana mkuuMombasa Tea Auction is the second largest black tea auction in the world. Only tea auction in the world that sells tea from multiple countries. Yaani wakenya wamekuza hii auction hadi nchi zote ukanda huu huwa zinalazimika kuleta majani chai yao Mombasa, la sivyo inakuwa ni hasara tupu kwa wakulima. Alafu utawaona humu wakieneza chuki na porojo zao dhidi ya Kenya. We control your destinies, mpende msipende.Mombasa Tea Auction Process
The Export Auction System was initiated in November 1956 in Nairobi on a very small scale with only small quantities of secondary grade teas offered fortni...www.eatta.com
YepUnilever ni ya Royal family(queen), na ndio ina dominate production ya chai Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
David lagat through DL koisagat/group owns 99% of mufindi tea and coffee limited, rift valley tea and kibena tea limited all in Tanzania and thats the truth Google if you want..LOL ni Mkenya mmoja tu ndio nimesikia juzi juzi kakodishiwa Estate ya chai
Hakuna foreigner anaweza miliki ardhi Tanzania, usijidanganye, chai yote 99% inalimwa na wananchi wenyewe, hata Unilever wanategemea wa Tanzania wenye mashamba wawape mzigo
Upuuzi mtupu wa kujitungia, Kenya inaongoza kwenye uzalishaji wa majani chai kwasababu ya wakulima wadogo wadogo. Ambao wanazalisha 80% ya majani chai yote. KTDA ambayo inajumuisha mamia ya co-operatives za wakulima wadogo ndio huwa inacontrol uzalishaji na biashara ya majani chai nchini Kenya.Unilever ni ya Royal family(queen), na ndio ina dominate production ya chai Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Conduit kivipi wakati wakulima wadogo, ambao ndio wanazalisha 80% ya majani yote ya Kenya walipokea KES 85.7billion mwaka wa 2018. Pesa taslimu moja kwa moja kwa wakulima wakenya kutoka kwa shirika lao la KTDA, hela kutoka kwa mauzo ya zao lao.Hongera Sana mkuu
Big up
Bahati mbaya hauko informed, anayecontrol ni imperialist, ninyi ninconduit Tu
Kama bomba ya mavi
... na Tz ni jamvi la nyang'auYep Kenya ni jamvi la imperialists
David Lang'at alinunua Mufindi kutoka kwa mzungu ambaye anamiliki viwanda vingine vikubwa kadhaa vya majani chai na kahawa Tz. Kenya kando na viwanda vya wakulima wakubwa(kampuni na mashamba makubwa ya wazawa k.m Koisagat Estate ya Lang'at) viwanda vingine vyote vinamilikiwa na co-operative za wakulima wadogo.LOL ni Mkenya mmoja tu ndio nimesikia juzi juzi kakodishiwa Estate ya chai Hakuna foreigner anaweza miliki ardhi Tanzania, usijidanganye, chai yote 99% inalimwa na wananchi wenyewe, hata Unilever wanategemea wa Tanzania wenye mashamba wawape mzigo
ukiwasikiliza hawa wapiga tarumbeta unaeza sema Kenya ni kama Europe
Biashara ya chai hapo Kenya kakamata malkia akishirikiana na odinga then ndio wanafata hao small growers.Upuuzi mtupu wa kujitungia, Kenya inaongoza kwenye uzalishaji wa majani chai kwasababu ya wakulima wadogo wadogo. Ambao wanazalisha 80% ya majani chai yote. KTDA ambayo inajumuisha mamia ya co-operatives za wakulima wadogo ndio huwa inacontrol uzalishaji na biashara ya majani chai nchini Kenya.
Eti Odinga na malkia. [emoji1] Leta ushahidi na takwimu hii sio forum ya umbea. Hiyo taarifa hapo kwenye link ulioinukuu na ambayo huijaisoma, kama kawa, ina takwimu ambazo zinaonesha kwamba madai yako ni porojo na pumba tupu.Biashara ya chai hapo Kenya kakamata malkia akishirikiana na odinga then ndio wanafata hao small growers.
Sent using Jamii Forums mobile app
David lagat through DL koisagat/group owns 99% of mufindi tea and coffee limited, rift valley tea and kibena tea limited all in Tanzania and thats the truth Google if you want..
Factories 🏭 aren't farms (land)... na Tz ni jamvi la nyang'au
maanake Mufindi ambayo huwa mnaisifia inamilikiwa na mkenya David Lang'at wa DL Koisagat Group of Companies. David Lang'at alinunua Mufindi kutoka kwa mzungu ambaye anamiliki viwanda vingine vikubwa kadhaa vya majani chai na kahawa Tz. Kenya kando na viwanda vya wakulima wakubwa(kampuni na mashamba makubwa ya wazawa k.m Koisagat Estate ya Lang'at) viwanda vingine vyote vinamilikiwa na co-operative za wakulima wadogo.Kenyan tycoon buys Tanzania tea firms for Sh6b : The Standard
Mr Langat who owns Koisagat Tea Estate in Nandi County has bought three companies from British firm Rift Valley Corporation for an estimated price ofwww.standardmedia.co.ke
Jamaa amenunua viwanda worth Tzshs 138bilion! 😀 Kenya wakulima wa chai huwa wanapeleka majani chai yao kwenye viwanda ambavyo wanamiliki wao kupitia co-operative zao. Kwa wakulima large scale kama David Lang'at na mashamba yake ya Koisagat Tea Estates viwanda huwa ni vyao, ndani ya mashamba yao. Infact kuna sheria ambayo inawazuia wakulima kupeleka majani chai yao kwenye viwanda ambavyo sio vya co-operative yao. Sasa wakulima wa Tz wana afueni gani? Maanake kupeleka majani chai yao kwenye viwanda vya watu binafsi, wakiwemo wazungu, na nyang'au, ni utumwa. Kampuni za kigeni zipo pia(multinationals), kama Finlays na mashamba ambayo wanalima huwa ni leased kwao na GOK, kwa miaka kadhaa. Output ya mashamba yote makubwa, ya makampuni pamoja na ya wazawa ni >20%.Factories aren't farms(land) Hakuna mgeni anaweza kumiliki ardhi Tanzania wala hakuna mashamba ya chai yanamilikiwa na wageni.Huyo mkenya kanunua majengo na mitambo ya huyo mzungu.
Sale No. 42 of 26th October, 1992 is fondly remembered as the sale the Mombasa Tea Auction went international by conducting a most successful US dollar auction in accordance with Kenya Government Policy as per Exchange Control Circular No. 5/92/13 of 15/10/92. Although there were a few teething problems, the system entrenched itself within a short while. This is a big step which neither India, the largest producer of tea nor Colombo, the biggest auction in the world, have managed to achieve to-date. All sales are held under the self-regulating rules and regulations of the EATTA which ensure fair play. Trade is between members. Auction sales are numbered on an annual basis starting with Sale No.1 on the first Monday in January and ending with sale 50 or 51 in December.
JPM hanaga kuendekeza upumbavu
Tayari tulishajitoa