British woman dies in Cyprus after AstraZeneca jab

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
7,134
Reaction score
4,556
Nicosia.A 39-year-old British woman died in a Cypriot hospital after a blood clotting incident after receiving the AstraZeneca Covid-19 vaccine, the official Cyprus News Agency said Monday.

Charalambos Charilaou, the spokesperson for the state health services, told CNA that the European Medicines Agency (EMA) would investigate the death.

The woman, treated at Nicosia General Hospital's intensive care unit, received the first dose of the vaccine on May 6 in the resort town of Paphos on the western coast of the Mediterranean island.

The woman, who was not named, suffered symptoms days later.

Cyprus health authorities have opened an investigation to see if the "serious thrombotic episode" was linked to the AstraZeneca jab.

Cypriot authorities are investigating another four other cases of "mild" blood clotting incidents -- three of which occurred after an AstraZeneca shot and one after a Pfizer jab -- are also being investigated by Cyprus.

Some countries have restricted or dropped AstraZeneca shots from national vaccine campaigns over very rare blood clots, though the EMA says the benefits outweigh the risks.

AstraZeneca is the backbone of the vaccination rollout in Cyprus, where family doctors are also allowed to administer the jab to anybody aged over 20.

But many people booking online to get the vaccine have snubbed AstraZeneca and opted for other shots.

According to Our World in Data figures, Cyprus is ranked third in the European Union for vaccinations per population, administering 57.54 doses per 100 people.

Nearly 49 percent of Cyprus' adult population has received a Covid-19 vaccine shot, and 21 percent are fully vaccinated.

Total infections since the pandemic in March 2020 started is 71,911 and 354 deaths.

So mkuu tuendelee kukaza kichwa na kitu au??
 
Mbona hilo ni jambo la kawaida tu kutokea kama side effect ya dawa kwa baadhi ya watu. Hata matibabu ya malaria kwa kutumia dawa zilizo na sulfur baadhi ya watu waliathirika sana kwa kubabuka mwili mzima na kusababisha vifo. Lakini wengi wameendelea kutibiwa na dawa hizo kwa mafanikio makubwa!
 
Masalia ya mwendazake bado yapo sana!!ali wa washbrain vizuri sana!! Yaani kati ya watu milioni 19 waliopewa chanjo hiyo ni 0.0004℅ ndio wamekumbana na tatizo imekuwa inshu kubwa!!!achana nao
 
Ni kukua kwa teknolojia au watafiti wamejikita kutoa majibu kwa wakati mpaka kinga hii ya corona kupatikana kwa haraka kiasi hiki?.
 
Nicosia.A 39-year-old British woman died in a Cypriot hospital after a blood clotting incident after receiving the AstraZeneca Covid-19 vaccine, the official Cyprus News Agency said Monday.

Charalambos Charilaou, the spokesperson for the state health services, told CNA that the European Medicines Agency (EMA) would investigate the death.

The woman, treated at Nicosia General Hospital's intensive care unit, received the first dose of the vaccine on May 6 in the resort town of Paphos on the western coast of the Mediterranean island.

The woman, who was not named, suffered symptoms days later.

Cyprus health authorities have opened an investigation to see if the "serious thrombotic episode" was linked to the AstraZeneca jab.

Cypriot authorities are investigating another four other cases of "mild" blood clotting incidents -- three of which occurred after an AstraZeneca shot and one after a Pfizer jab -- are also being investigated by Cyprus.

Some countries have restricted or dropped AstraZeneca shots from national vaccine campaigns over very rare blood clots, though the EMA says the benefits outweigh the risks.

AstraZeneca is the backbone of the vaccination rollout in Cyprus, where family doctors are also allowed to administer the jab to anybody aged over 20.

But many people booking online to get the vaccine have snubbed AstraZeneca and opted for other shots.

According to Our World in Data figures, Cyprus is ranked third in the European Union for vaccinations per population, administering 57.54 doses per 100 people.

Nearly 49 percent of Cyprus' adult population has received a Covid-19 vaccine shot, and 21 percent are fully vaccinated.

Total infections since the pandemic in March 2020 started is 71,911 and 354 deaths.

Ngoja niendelee kusoma mavolume ya kamati, ila kuchanjwa sichanjwi ng'o!
 
Wanaokufa kwa Thrombosis ni wachache ukailinganisha na covid yenyewe
Hiyo covid iko wapi, India wenyewe walijidai watu wanakufa kwa covid kumbe wanawaua halafu wanauza viungo vyao. Walipoona ndugu wameshtuka wanaanza kudai maiti vifo vimeishia wapi. Tuamke kumekucha, ukilala sana utapotea
 
Lengo si kuua kidogo ni kuwa kinga watu na covid sasa kama kinga yenyewe inaua hapo kuna tatizo,rushwa na kujipendekeza kutatuletea madhara makubwa sana yasopata kutokea ktk nchi hii
 
Mazezeta yanaona kufa kwa kuchomwa chanjo ni jambo jema kuliko kukaa salama tulivyo wala hakuna hofu ya corona wala hofu ya side effects za chanjo.
 
Masalia ya mwendazake bado yapo sana!!ali wa washbrain vizuri sana!! Yaani kati ya watu milioni 19 waliopewa chanjo hiyo ni 0.0004℅ ndio wamekumbana na tatizo imekuwa inshu kubwa!!!achana nao

unajua ni watu wangap wamekufa mpaka saaahv kwa blood clots under the carpet? unajua ni nchi ngap zmerudisha chanjo kwa oxfam? je unajua chanjo yenyewe ipo against human rights?
 
Mbona hilo ni jambo la kawaida tu kutokea kama side effect ya dawa kwa baadhi ya watu. Hata matibabu ya malaria kwa kutumia dawa zilizo na sulfur baadhi ya watu waliathirika sana kwa kubabuka mwili mzima na kusababisha vifo. Lakini wengi wameendelea kutibiwa na dawa hizo kwa mafanikio makubwa!
Ngoja ndugu yako aje akugandie damu au wewe mwenyewe igande ndo utajua nyau siyo mboga.
 
Acha dhihaka. Mie wangu amekufa kabisa kwa corona! Na haya oxygen ilikataa kufika asilimia 60 kwa sababu asilimia karibu 50 ya mapafu yake yalikuwa yameathirika.

Una haki ya kuikataa chanjo lakini huna haki ya kuikataa kwa niaba ya mtu mwingine. Hata huko zilikogundulika chanjo kuna watu hawataki kuchanjwa lakini kuna wanaochanjwa pia. Tofauti yako na wao ni kuwa wao wanafahamu kwanini hawaitaki, na wewe ni bendera fuata upepo!!

Akili ya kitoto wakati ni mtu mzima. Eti nyau sio mboga. Kweli katika mambo kama haya unaweza ukapenyeza maneno ya kibinti namna hiyo?
 
Oya Mleta Uzi ameturuhusu tuuchangie kwa Kiswahili au tunamuonyesha tu kuwa nasi Kiingereza tunakijua tu kama Yeye ila tumejisikia na tumependa Kuchagua kwa Kiswahili tulichokizoea na Kutukuka nacho?
 
Hiyo covid iko wapi, India wenyewe walijidai watu wanakufa kwa covid kumbe wanawaua halafu wanauza viungo vyao. Walipoona ndugu wameshtuka wanaanza kudai maiti vifo vimeishia wapi. Tuamke kumekucha, ukilala sana utapotea
Ndugu,kapime IQ haraka
 
Lengo si kuua kidogo ni kuwa kinga watu na covid sasa kama kinga yenyewe inaua hapo kuna tatizo,rushwa na kujipendekeza kutatuletea madhara makubwa sana yasopata kutokea ktk nchi hii
Sisi tunauwawa na Ukimwi na Malaria kila siku na hakuna madhara yanayotokea
 
Hata dawa za Malaria zinaua ila ripoti hazisomwi.

Kuna big benefit than hasara!

Mama Leta chanjo tuchome.
 
Mbona hilo ni jambo la kawaida tu kutokea kama side effect ya dawa kwa baadhi ya watu. Hata matibabu ya malaria kwa kutumia dawa zilizo na sulfur baadhi ya watu waliathirika sana kwa kubabuka mwili mzima na kusababisha vifo. Lakini wengi wameendelea kutibiwa na dawa hizo kwa mafanikio makubwa!
Kwenye dawa mtu anajua dawa ipi asitumie itamletea shida fulani, kuna kitu hawataki kukiweka wazi kwenye hizi chanjo na huku kuganda kwa damu.
 
Ngoja ndugu yako aje akugandie damu au wewe mwenyewe igande ndo utajua nyau siyo mboga.
Kwani kuna ajabu ya side effect ya dawa kwa baadhi ya watu? Nina ndugu wengi tu ambao baadhi ya dawa huwadhuru na kwa sababu tunafahamu huepukana nazo.

Kwa hiyo wewe usiwe chanzo cha propaganda za kijinga na kusababisha maelfu ya Watanzania wasipate chanjo!
 
Back
Top Bottom