Yote mawili yanaweza kuwa ndio yamechangia, na jingine la muhimu kabisa ni kutokana na waathirika wakubwa ni hao(wazungu)ambao kila rasilimali fedha na watu wanayo wao!!na serikali zao kukubali kutoa fedha nyingi kwenye tafiti za ugonjwa huo, kwenye makampuni husika, ndio maana unasikia asilimia 75ya chanjo zote zinamilikiwa na nchi 10 tu!!EU, ilitishia kuishitaki kampuni ya Astrazenica kwa kuanza kuuza chanjo kwa nchi nyingine nje ya umoja wa ulaya, wakati wao ndio waliwezesha kutoa pesa nyingi kufadhiri tafiti zao!!