British woman dies in Cyprus after AstraZeneca jab

Hiyo ndio hoja yangu kwamba waeleze ni watu gani chanjo haziwafai damu huganda ili kuepuka huku kuganda kwa damu kwa baadhi ya watu, inaonekana hili hawakulijua toka mwanzo sasa kulikubali ndio shida.
 
Oya Mleta Uzi ameturuhusu tuuchangie kwa Kiswahili au tunamuonyesha tu kuwa nasi Kiingereza tunakijua tu kama Yeye ila tumejisikia na tumependa Kuchagua kwa Kiswahili tulichokizoea na Kutukuka nacho?

punguza ulimbukeni
 
Masalia ya mwendazake bado yapo sana!!ali wa washbrain vizuri sana!! Yaani kati ya watu milioni 19 waliopewa chanjo hiyo ni 0.0004℅ ndio wamekumbana na tatizo imekuwa inshu kubwa!!!achana nao
Muache mzee wa watu apumzike kwa amani mataqo zako ww
 
Hivi bado unafikilia corona inapowauwa wakoloni weupe ni sahihi?.

Ila jwa kifupi ni makosa ya kitafiti kwa hao hao walioandaa propaganda hii, 'Kumbuka; wakati sakata la huu ugonjwa linapamba moto ulaya yote wakiwaambia afrika mtakufa kama utitiri mabarabarani na yule kipepeo bill gate ndiye alikuwa mstari wa mbele, then what next?.

Sitaki kuamini eti rasilimali watu na fedha ndiyo kigezo cha kuharakisha kupatikana kwa kinga hizi, there's extra hiden issues zinatunzwa tu.
 
Unajua wenyewe wangesema wazi tu kuwa hizo chanjo haziwafai watu wa makundi fulani kwa sababu wakitumia damu huganda, mfano kuna dawa hatakiwi kutumia mama mjamzito hivyo mjamzito anaepuka anaepika matumizi ya hizo dawa ili zisimletee shida.
 
Masalia ya mwendazake bado yapo sana!!ali wa washbrain vizuri sana!! Yaani kati ya watu milioni 19 waliopewa chanjo hiyo ni 0.0004℅ ndio wamekumbana na tatizo imekuwa inshu kubwa!!!achana nao
Imagine hiyo 0.0004 awe mkeo/mwanao/mama yako,baba yako.ndugu yako mmoja awepo
 

vipi kwa yule unamwaminisha chanjo ni salama alafu ndugu yake akaaga dunia! then unamwambia ni kifo kimoja kati ya mil 60 waliopona??????
2) katika kila chanjo hua kuna mipaka hairuhusiwi kuvuka, mfano chanjo zote znatakiwa zisiwe code written kufanya changes zozote katika RNA \ DNA ya binadam, wewe huezi tengeneza chanjo kuhakikisha mwili wangu unarespond kutokana na edited codes zako. If you take ASTRAZENECA inamaanisha kila baaada ya mda lazima ukapokee tena, kwahio tunategemea saaahv wote waliopokea chanjo around 3 years from now ukapokeee ingine tena kama utakua alive ivo ivo mpaka utakavoaga dunia

3) Corona ni group of viruses sio ugonjwa, kwenye hilo group kuna aina nyingi za viruses and most viruses umeshakutana nazo kwa sababu hazina observable effects na zingine unaishi nazo bila kujua, tafaut ya zile zingine na hii apa (SARS-COV) ni sehem tu ya kufanyia maangamizi,.

4) kujibu hoja yako nadhan ni sahihi kusema hakuna haja ya kua worried na upinzani ni kwa sababu ni wawili watatu tu wamepata dhoruba watanzania wengine mil 59 wako salama, why do we have to wory about watu 200 wa mtandaoni?
 

side effects za kifo?
 

hakunaga chanjo inatengenezwa kwa miezi nani ikahalalishwa, the Human body isnt as wasy as that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…