Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Hatupangiani namna ya kuishi kwenye ndoa zetu. Kwanza sihudumii ndoa yako na sina mchango wowote ule kwenye familia yako Bro.
Lakini kijamii bado naiona sio sawa hii!... Mkeo kila kukicha anajipost mtandaoni kabinua matako yake nawewe pasina kuwa na haya una comment umedamsh,umewaka,umependeza mke wangu! Ni sawa hatukupangii bro ila ukigongewa ndo utaona maumivu yake.
Labda utujibu maswali haya machache ...umeshindwa vipi kumpongeza mkiwa wawili nyumbani hadi uje umpongezee mtandaoni?
Unaweza kutuambia picha hizo zina faida gani kwenye ndoa yako Dingii?
Bro mengine sio lazima uambiwe wewe ni mwanaume huo mwili wa mkeo ni wako pekee yako sio wa jumuiya.
Ni hivi hizo nguo za kuonyesha maungo yake wala si ukisasa huo bali ni ulimbukeni na pia anajichoresha kujiletea vishawishi.
Uzuri majibu huwa hayakai muda mrefu soon utayapata. Na ukija kuomba ushauri humu umegongewa kima sihara tutakavyo kujibu usione hatuna utu.
Ni jana tu yamemkuta bro mmoja aliyekuwa anatamba mke wake ni wakishua....baada ya kumbana akakiri walikuta fesibuku jana nimeshehudia kwa macho yangu akivunja simu pixel 7pro kwa mawe na wamepelekana ukweni hawajarudi. Aliambiwa na wana akawatambia mke wake ni wakishua hayo mambo ni ya kawaida kwake!
Kakuta App kadhaa wa kadhaa za dating na picha zingine nyingi ambazo zimepigwa kwenye hotels na rooms. Ni balaa. Hayo ni ya jana saa7 mchana baada ya kwenda ku solve hii issue na tukamwambia usimpige peleka kwao hii ng'ombe.
UMEONYWA,UMEPEWA TAHADHARI!