Bro, kwahiyo mkeo umemruhusu kujipost mtandaoni na ana zaidi ya picha 30? Sawa Bro

Mkuu hiyo hoja imechomekewa watu. Lengo la mada ni Wanawake wasipost picha zao mitandaoni.

Mtoa mada ni wale watu wenye mtazamo wa Watu kutokujipost mara kwa Mara. Na sababu zake zinatokana na mtazamo hasi alionao.
Kwahiyo kama imechomekwa tu,haifai kujadiliwa?
Unatumia vigezo gani kuhukumu kua imechomekwa? hiyo hoja ni sehemu ya content,
Hata kama imechomekwa,je yupo sahihi au hayupo sahihi?
 
Bora hata hao wakike,Sasa unakuta mwanaume anaambiwa na mkewe simama hapo nikuchukue video,jamaa anasimama anaanza kucheza cheza huku mkewe anamrekod akimaliza anaitupia status🤓🤓🤓🤓
Huwa nawaza hawa wanaume wa hivi mnawapataga wapi mbona sisi tunakutana na manunda Jazz🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huu uzi sio sheria bali ni maoni au mtazamo,
Hakuna aliyelazimishwa aishi atakavyo mleta mada,
Sio kila mtu atakubaliana na mleta mada but wapo watakaofaidika na ujumbe uliomo ndani ya mada,

Huu ni ushauri tu au mtazamo tu,
The rest it's up to you.

Ndio anauhuru wa kutoa Mtazamo au maoni yake.

Ila Mtazamo wake ni Hasi.

Mwanamke mpaka anapost hizo picha za ajabu ni kwamba mwanaume ndiye mwenye Makosa katika kuchagua.

Huwezi chagua mwanamke mwenye Life style Fulani alafu ukaanza kuhangaika kumbadilisha. Au kushangaa kwa nini anafanya hivi au vile.

Mtoa mada anahofu ya kuibiwa mwanamke wake ndio maana anajaribu kuingilia mpaka Uhuru wa mkewe kwenye vitu visivyoeleweka.

Kwanza kitendo cha kumwambia mkeo sitaki uvae nguo Fulani au upost ukiwa hivi NI kiashiria kabisa ulishajichanganya. Ulioa mwanamke asiyejitambua. Yaani mpaka umuambie? Yeye haoni?
 
Mkuu Dunia haiko hivyo. Lengo la maisha mi kuishi. Na kuishi ni kufanya Jambo linalooupendeza na kukufurahisha.

Mwanamke kupost na kushare picha zake kama ni furaha yake hakuna tatizo lolote.
Anafurahia vile anavyoonekana na vile watu wanavyomuona.

Furaha yake ndio mchango wake ndani ya ndoa(familia yenu)

Tatizo kubwa walilonalo wanaume wengi hasa wasiojiamini, waoga wa kuachwa, kuishi wenyewe au kutafuta chimbo jingine ndio huwa na Sheria zisizo na kichwa wala miguu. Huwaza mambo ya ngonongono. Kwamba Mke ataliwa, mke anajitangaza.

Mkuu mkeo hata awe na kiswaswadu kama ni Malaya, kama hakupendi watu watajipihia tuu.

Yaani mkeo asipost picha zake mitandaoni na anapenda kufanya hivyo kisa ujinga na mawivu yako?😆😆 Kuwa serious.

Kadiri unavyoonyesha Wivu kwa mkeo ndivyo thamani yako kwake inashuka. Na anatafuta mwanaume Bora zaidi. Anaona hujiamini.

Anakuona huna Options (uwezo wa kupata mwanamke mwingine kama yeye)

Mpe Sheria moja. Uaminifu ni juu yake. Aki-cheat utamfukuza bila kikao.

Kisha mengine muachie

Sasa mtu asijipost kisa?

Mbona huwazuii wanaume?
Mbona hausemi mumeo kama anajipost picha zaidi ya 30 ni hatari?

Acha mawazo ya kizamani Mkuu.
Hiyo sio njia salama ya kuishi kwa furaha na Mkeo unayempenda.
Muda mwingine soma na tafakari kama kitabu cha ufunuo mkuu.

Nimekuuliza swali uhuru gani wa mwanamke kujipost post kabinua matako? Huo mwili unaonyeshwa ovyoovyo ni wa jumuiya?

Kwa akili yako unadhani hatujiamini kwa wake zetu na kwamba hatuwapendi?

Ebu tueleze account ya mke wa Dangote,Mo, GSM na wengine wengi zinaitwaje na zinapicha ngapi ni kwamba hapa maboss hawawapendi wake zao au hawana simu kubwa?

Ningetamani sana ni share baadhi ya account za wake za watu hapa uone kisha utuambie ndo ukisasa unaouzungumzia hapa?

Kutongozwa sikatai hata enzi hakuna siku wanawake wazinzi walikuwepo tu lakini kuna kujisababishia vishawishi mwenyewe.

Mfano wa kusema mbona wanaume sijawasemea wanaojipost post ovyo.

Wewe unadai ni mwana sakorojia unashindwa vipi kutofatisha jinsia ya Ke na Me namna mwanaume anavyo feel akiona maungo ya mwanamke ?

Unawapoteza mafala na yakiwakuta utawaambia walioa malaya.
 
Mkuu hiyo hoja imechomekewa watu. Lengo la mada ni Wanawake wasipost picha zao mitandaoni.

Mtoa mada ni wale watu wenye mtazamo wa Watu kutokujipost mara kwa Mara. Na sababu zake zinatokana na mtazamo hasi alionao.
Ok mkuu, lets say ulichosema ni sahihi, sasa turudi kwenye saikolojia ya mleta mada, sababu kuu ya mwanamke kupost picha zake mtandaoni huwa ni ipi?

Zamani tulikuwa na album, kwenye album lengo lilikuwa ni kumbukumbu kwa ajili ya wanaotufahamu, marafiki na ndugu, sasa lengo la kupost picha mitandaoni ni lile lile au kuna lengo jipya limejificha hapo katikati ambalo linampa mleta mada mtazamo hasi?

Mwanamke kupost picha zake mitandaoni pasipo matukio kama ya kikazi, biashara au matukio yenye hadhi ya kumbukumbu mfano sherehe, kuhitimu shule n.k lazima kuna lengo. Yaani kwa wiki unapiga picha tu, ubabadili vimini sijui madera unapost mtandaoni. Lengo ni nini?
 
Bora hata hao wakike,Sasa unakuta mwanaume anaambiwa na mkewe simama hapo nikuchukue video,jamaa anasimama anaanza kucheza cheza huku mkewe anamrekod akimaliza anaitupia status🤓🤓🤓🤓
Huwa nawaza hawa wanaume wa hivi mnawapataga wapi mbona sisi tunakutana na manunda Jazz🤣🤣🤣🤣🤣
Malezi mkuu sisi tuliolelewa kiume huwezi kuta tunafanya hayo. Utoto huwa upo lkn si kupostiana status mimi hata kupost watoto ovyo mtandaoni nishapiga marufuku
 
Ok mkuu, lets say ulichosema ni sahihi, sasa turudi kwenye saikolojia ya mleta mada, sababu kuu ya mwanamke kupost picha zake mtandaoni huwa ni ipi?

Zamani tulikuwa na album, kwenye album lengo lilikuwa ni kumbukumbu kwa ajili ya wanaotufahamu, marafiki na ndugu, sasa lengo la kupost picha mitandaoni ni lile lile au kuna lengo jipya limejificha hapo katikati ambalo linampa mleta mada mtazamo hasi?

Mwanamke kupost picha zake mitandaoni pasipo matukio kama ya kikazi, biashara au matukio yenye hadhi ya kumbukumbu mfano sherehe, kuhitimu shule n.k lazima kuna lengo. Yaani kwa wiki unapiga picha tu, ubabadili vimini sijui madera unapost mtandaoni. Lengo ni nini?
Swali zuri sana ....ongezea mwanamke anasuka tu anapost anarembua akiwa mimba hiyo mimba inaakwa siyo kwamba kavaa ni tumbo likiwa uchi linapostiwa mtandaoni hii hata kwenye picha za Album hatukuwahi kuona hayo
 
Muda mwingine soma na tafakari kama kitabu cha ufunuo mkuu.

Nimekuuliza swali uhuru gani wa mwanamke kujipost post kabinua matako? Huo mwili unaonyeshwa ovyoovyo ni wa jumuiya?

Kwa akili yako unadhani hatujiamini kwa wake zetu na kwamba hatuwapendi?

Ebu tueleze account ya mke wa Dangote,Mo, GSM na wengine wengi zinaitwaje na zinapicha ngapi ni kwamba hapa maboss hawawapendi wake zao au hawana simu kubwa?

Ningetamani sana ni share baadhi ya account za wake za watu hapa uone kisha utuambie ndo ukisasa unaouzungumzia hapa?

Kutongozwa sikatai hata enzi hakuna siku wanawake wazinzi walikuwepo tu lakini kuna kujisababishia vishawishi mwenyewe.

Mfano wa kusema mbona wanaume sijawasemea wanaojipost post ovyo.

Wewe unadai ni mwana sakorojia unashindwa vipi kutofatisha jinsia ya Ke na Me namna mwanaume anavyo feel akiona maungo ya mwanamke ?

Unawapoteza mafala na yakiwakuta utawaambia walioa malaya.

Watu wako tofauti mkuu.

Sio kama sielewi pointi yako. Naipata.

Ila ni Bora hao wanaopost mara elfu moja kuliko ambao hawapost lakini wanatamani na kupenda kupost.

Pili, hoja Yangu imejikita kwenye title yako ndio nilipowaka na kupinga mada yako yote kwani msingi wa mada yako upo kwwnye title. Ndio nikakuambia. Mwanamke kupost sio tatizo labda kama kuna maadili yanavunjwa.

Title yako unaposema mwanamke kuwa na picha zaidi 30 mtandaoni bila kutaja aina ya picha. Unakuja kuzitaja kwenye Uzi hiyo inaonyesha hiyo ya kwenye Uzi umechomekea tuu. Lengo lako lipo kwenye title.

Kwani lengo la title night kubeba ujumbe mzima wa mada yako hata watu wasiposoma Uzi.
 
Upo sahih mkuu, nahii inatokana na mwanaume kupungua uanaume ndan ya nyumba kwa kuchukuliwa simple na mkeo.

Mwanamke ni kama mtoto hua anaanza kwa kutest vitu taratibu au vidogo.

Usipo weka msimamo kumdhibiti
Anaweka tabia zake za hovyo na yey anajiona yupo sawa na ni haki yake.

Na hapo tena anaweza kukuraum wew kama mme hukumsimamia kama mme hadi amevuka mipaka.

Na ukimzuia akakuelewa na madhara akaya gundua anakuona wew ndo mme bora kama baba kwake.

Mwanamke ni kama mtoto.
 
Ok mkuu, lets say ulichosema ni sahihi, sasa turudi kwenye saikolojia ya mleta mada, sababu kuu ya mwanamke kupost picha zake mtandaoni huwa ni ipi?

Zamani tulikuwa na album, kwenye album lengo lilikuwa ni kumbukumbu kwa ajili ya wanaotufahamu, marafiki na ndugu, sasa lengo la kupost picha mitandaoni ni lile lile au kuna lengo jipya limejificha hapo katikati ambalo linampa mleta mada mtazamo hasi?

Mwanamke kupost picha zake mitandaoni pasipo matukio kama ya kikazi, biashara au matukio yenye hadhi ya kumbukumbu mfano sherehe, kuhitimu shule n.k lazima kuna lengo. Yaani kwa wiki unapiga picha tu, ubabadili vimini sijui madera unapost mtandaoni. Lengo ni nini?

Mkuu Zamani watu walipiga picha. Zingine kwenye Album, zingine zilibandikwa kwenye Ukuta.

Watu waliokuja nyumbani, ndugu, jamaa, marafiki na wageni mbalimbali waliziona picha hizo zilizobandikwa ukutani na zilizokuwa kwenye Album kwani Album zilikuwa juu ya meza au kwenye kabati la sebuleni.

Hakuna tofauti na mtandaoni.

Mtandao kama Facebook, au Instagram huwezi ona picha za MTU usiyehusiana naye kwa namna yeyote. Kuna mutual friends na marafiki wa Rafiki au ndugu zako.

Pia Luna ku follow na ku accept friends request. Pia kuna ku lock profile kwa usiohusiana nao kabisa.

Mimi siwezi kuona picha zako. Sijui kina lako, sijawahi kukuona, hatujuani kivyovyote.

MTU anapopost picha yake mtandaoni anapost kwaajili yake mwenyewe na wale anaohusiana naye. Ni kumbukumbu lakini pia ni mawasiliano./taarifa. Hiyo taarifa itategemea na mtazamo walionao anaohusiana naye.

Wewe umepost picha umefunga Harusi labda au upo Dubai. Watakaoona ni waliokufolllow na Rafiki zako kwenye mtandao. Sawasawa tuu na ambavyo wangekuja kwako kwa maili elfu wakakuta album au picha ukutani.

Kama hutaki waone Una hide.

Sioni tatizo kabisa

Sio lazima Pawe na matukio makubwa kulingana na tafsiri za kiutamaduni. Kia mtu ananamna yake ya kufurahia maisha.

Wengine wanapiga picha kwenye Siku Fulani zilizoitwa sikukuu na watu wasiowahi kuwaona wala kuwajua. Huku Wengine kwao Kila Siku ni Sikukuu.

Wengine tukio kubwa ni Harusi, birthday,msiba wakati wengine Kila Siku Luna tukio kubwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Watu wako tofauti mkuu.

Sio kama sielewi pointi yako. Naipata.

Ila ni Bora hao wanaopost mara elfu moja kuliko ambao hawapost lakini wanatamani na kupenda kupost.

Pili, hoja Yangu imejikita kwenye title yako ndio nilipowaka na kupinga mada yako yote kwani msingi wa mada yako upo kwwnye title. Ndio nikakuambia. Mwanamke kupost sio tatizo labda kama kuna maadili yanavunjwa.

Title yako unaposema mwanamke kuwa na picha zaidi 30 mtandaoni bila kutaja aina ya picha. Unakuja kuzitaja kwenye Uzi hiyo inaonyesha hiyo ya kwenye Uzi umechomekea tuu. Lengo lako lipo kwenye title.

Kwani lengo la title night kubeba ujumbe mzima wa mada yako hata watu wasiposoma Uzi.
Bila shaka ulisoma Title pekee yake ukaja kutoa maoni yako. Title siku zote huwa tunafupisha pia nilijua wazi nikiandika matako Mods wataifuta ama kunadilisha wanavyojua wao ndio maana nikaweka namna hiyo lengo ni lilelile picha 30 kisha nikaelezea kwenye maelezo. Je ulitaka niandike vile wewe unataka iwe?
 
Mkuu mimi ni mtaalam wa Saikolojia na sosholojia. Ulichowasilisha na wachangiaji naelewa mtazamo na matakwa yenu.
Ukisoma comments utaelewa kile nasema
 
Bila shaka ulisoma Title pekee yake ukaja kutoa maoni yako. Title siku zote huwa tunafupisha pia nilijua wazi nikiandika matako Mods wataifuta ama kunadilisha wanavyojua wao ndio maana nikaweka namna hiyo lengo ni lilelile picha 30 kisha nikaelezea kwenye maelezo. Je ulitaka niandike vile wewe unataka iwe?
Tatizo la mtibeli anajadili heading na sio content!

Tena anasema wazi kabisa kua yeye anajadili heading tu!

😀😀
 
Mkuu Zamani watu walipiga picha. Zingine kwenye Album, zingine zilibandikwa kwenye Ukuta.

Watu waliokuja nyumbani, ndugu, jamaa, marafiki na wageni mbalimbali waliziona picha hizo zilizobandikwa ukutani na zilizokuwa kwenye Album kwani Album zilikuwa juu ya meza au kwenye kabati la sebuleni.

Hakuna tofauti na mtandaoni.

Mtandao kama Facebook, au Instagram huwezi ona picha za MTU usiyehusiana naye kwa namna yeyote. Kuna mutual friends na marafiki wa Rafiki au ndugu zako.

Pia Luna ku follow na ku accept friends request. Pia kuna ku lock profile kwa usiohusiana nao kabisa.

Mimi siwezi kuona picha zako. Sijui kina lako, sijawahi kukuona, hatujuani kivyovyote.

MTU anapopost picha yake mtandaoni anapost kwaajili yake mwenyewe na wale anaohusiana naye. Ni kumbukumbu lakini pia ni mawasiliano./taarifa. Hiyo taarifa itategemea na mtazamo walionao anaohusiana naye.

Wewe umepost picha umefunga Harusi labda au upo Dubai. Watakaoona ni waliokufolllow na Rafiki zako kwenye mtandao. Sawasawa tuu na ambavyo wangekuja kwako kwa maili elfu wakakuta album au picha ukutani.

Kama hutaki waone Una hide.

Sioni tatizo kabisa

Sio lazima Pawe na matukio makubwa kulingana na tafsiri za kiutamaduni. Kia mtu ananamna yake ya kufurahia maisha.

Wengine wanapiga picha kwenye Siku Fulani zilizoitwa sikukuu na watu wasiowahi kuwaona wala kuwajua. Huku Wengine kwao Kila Siku ni Sikukuu.

Wengine tukio kubwa ni Harusi, birthday,msiba wakati wengine Kila Siku Luna tukio kubwa.
Kuna kitu unakikimbia. Picha inayopigwa kwa ajili ya rejea au kumbukumbu haijifichi, inaonekana. Umemaliza chuo, umepiga picha, umekutana na rafiki yako, umepiga picha, umemkumbuka mama yako ukamtembelea, ukapiga picha, n.k n.k n.k Yaani hazijifichi na kwa wanaokufahamu zinapendeza kutazama sababu ni kumbukumbu.

Swali: Mwanamke kaamka asubuhi, kajiremba, kavaa wigi na mini yake kagauka, kabinuka photo pwaaa, kesho tena kaamka kabeba begi kaenda airpot kama vile anasafiri wakati ni uongo photo pwaa, karudi nyumbani yupo na kanga tupu video waaa na caption I am proud of me. Lengo linakuwa ni nini?
 
😆😆

Hao waobinuka hao wanamatatizo yao. Na inakuwaje mtu kuoa mwanamke mwenye life style tofauti na wewe?

Mimi nawajua wanawake wengi wameolewa na wanaposti kila lisaa limoja. Wakiwa wamejipodoa lakini hawajibinui, hawakai uchi, hawajidhalilishi.

Mwanamke akijipodoa akpost, au akijirekodi akiwa anajipodoa sioni tatizo lolote.
Kujipodoa ni sifa njema ya mwanamke.

Ila kujibinua, kuonyesha makalio, uchi, nguo za ndani hapo hoja yenu iko sawa.

Lakini kama havunji maadili. Ni kupost tuu why not.

Au ndio kusema anaringishia?😂😂
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Kuna wanaume kutwa wanajiweka status wanajigeuzageuza, kala chips anapost, kanunua raba kapost naonaga kinyaa
Mwanaume unatakiwa kua mtu wa kazikazi
Hao usipate shida waliwahi tungiwa wimbo "Wanaume kama mabinti" kama ulikuwa huwajui ndo hao sasa. Bila shaka umewajua sasa.
 
😆😆

Hao waobinuka hao wanamatatizo yao. Na inakuwaje mtu kuoa mwanamke mwenye life style tofauti na wewe?

Mimi nawajua wanawake wengi wameolewa na wanaposti kila lisaa limoja. Wakiwa wamejipodoa lakini hawajibinui, hawakai uchi, hawajidhalilishi.

Mwanamke akijipodoa akpost, au akijirekodi akiwa anajipodoa sioni tatizo lolote.
Kujipodoa ni sifa njema ya mwanamke.

Ila kujibinua, kuonyesha makalio, uchi, nguo za ndani hapo hoja yenu iko sawa.

Lakini kama havunji maadili. Ni kupost tuu why not.

Au ndio kusema anaringishia?😂😂
Kama kwako huoni shida mwanamke kujipost kila lisaa basi kwa wengine ukubali sasa sio sawa usihalalishe mtazamo wako uwe mtazamo wa kila mwanaume.
Kwangu haitakiwi na sijawahi muona akifanya hayo. Mwanamke upost tumbo lako like wazi halafu wewe mwanaume uone kawaida basi kubali mkuu nawewe huo ndo udhaifu wako unazidiwa!
 
Back
Top Bottom