Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Ikiwezekana ikunyonge😂😂Tume ya majaji wa kufanya uchunguzi iundwe upya sasa hivi iteuliwe na wananchi na report irudi kwa wananchi
Duuh kivipi kunyongana tena?Ikiwezekana ikunyonge😂😂
Ulichojibu haliendani na uzi huu mkuu soma vzrDuuh kivipi kunyongana tena?
Nimechangia mada tu kwamba iundwe tume ya majaji iliyoteuliwa na wananchi kufanya uchunguzi baada ya hapo report irudi kwa wananchi sio vinginevyoUlichojibu haliendani na uzi huu mkuu soma vzr
Kwa ajiri ya kitu gani hiyo tume iundwe kuchunguza uchepukaji wa mke wa jamaa?Nimechangia mada tu kwamba iundwe tume ya majaji iliyoteuliwa na wananchi kufanya uchunguzi baada ya hapo report irudi kwa wananchi sio vinginevyo
Uko sahihi mwanamke tena mke wa mtu kubinua matako maana yake anauza si kingineWatakuelewa wachachd sanaaa ila katika jambo ambalo sipendezwi nalo kwa wanandoa moja wapo ni hili
Mke akishajianika mitandaoni kinachofuata ni kutafutwa na biashara iendelee mana biashara Matangazo
Ushaelewa namaanisha nini mkuuKwa ajiri ya kitu gani hiyo tume iundwe kuchunguza uchepukaji wa mke wa jamaa?
Hii lugha uliyotumia wataielewa kweli wale watu?Attention seeking behavior often stemming from,
Low self-esteem,loneliness,insecurity or past trauma,or mental health condition like Histrionic Personal Disorder (HPD)
It can create unbalance relationships,leading to partners feeling emotionally drained.
Mkuu,JF ina Translate siku hizi.Hii lugha uliyotumia wataielewa kweli wale watu?